Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe -Inspector Lugawa ISSA Maulid atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 25, 2021

Mkaldayo huyu jamaa ni mduanzi sana asee.
 
Sijamtukana, upumbavu sio tusi ni kukosa akili.
Kukosa akili maana yake unamzihaki MwenyeI Mungu ambaye ni muumba. Kama ungemwambia ni mjinga ningekuelewa kwa sababu ujinga ni kutoelewa kitu ila ukifundishwa unaweza kujua/kukielewa lakini upumbafu ni kilema kama kilema kingine tu.
 
Ni lini wataanza kuleta ushahidi wa ugaidi maana sasa hivi zinaonekana sarakasi za policcm tu

Hakika polisi ni watu wa kufeli feli tu hata kwenye ushahidi wanafeli feli tu, ile CCP moshi kisiitwe chuo cha polisi bali kiitwe kijiwe cha wahuni
 
Kukosa akili maana yake unamzihaki MwenyeI Mungu ambaye ni muumba. Kama ungemwambia ni mjinga ningekuelewa kwa sababu ujinga ni kutoelewa kitu ila ukifundishwa unaweza kujua/kukielewa lakini upumbafu ni kilema kama kilema kingine tu.
Ndio hivyo ni mpumbavu
 
Huyu shahidi wa leo alipokuwa anafanyiwa examination na upande wa utetezi alikuwa anaonesha kajeuri fulani ka - kipolisi...

Ikashangaza kidogo kwani hata alipofanyiwa re examination na mawakili wake, nako akawaonesha jeuri ya kipolisi...

Mfano aliulizwa:

KIBATATALA: Unajua kuwa wewe ukiwa mkuu wa kituo cha Polisi, kila unapoondoka kituoni unatakiwa kuteua mtu kushika nafasi kwa muda wote ambao haupo kituoni?

SHAHIDI: Mimi sijui hilo, na hill so lazima sana. Ninachojua mimi nimekuja hapa kutoa ushahidi wangu na baadae narudi zangu kazini kuendelea na majukumu yangu...!!

Huyu shahidi wa leo alikuwa kiboko aisee...
 
Unamfix kisa kasema kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…