Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mrukeruke tu kama maharage lakini Mbowe ni Gaidi
4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania nahapana raia wa Tanzania aishiye nje ya Jamhuri ya
Muungano akayeruhusiwa kufanyakitendo cha kigaidi na mtu
yeyote atakaye fanya hivyo atakuwa ametenda kosa la jinai.
(2) Mtu atatenda kosa la kigaidi ikiwa kwa nia ya ugaidi atatenda
au hatatenda kitendo ambacho-
(a) kinaweza kufanya uharibifu mkubwa kwa nchi au shirika
la kimataifa; au
(b) kimekusudiwa au kinaweza kusemekana kuwa kimekusudiwa-
(i) kutishia uma kwa kiwango kikubwa;
(ii) kuilazimisha Serikali kufanya au kutokufanya kitendo
chochote;
(iii) kudhoofisha au kuharibu kwa kiwango kikubwa misingi ya kisiasa,
kikatiba, kiuchumi au miundo ya kijamii ya nchi au shirika la
kimataifa; au
(iv) kuishawishi Serikali hiyo au shirika hilo la kimataifa; au
(c) kinahusisha au kusababisha, kulingana na mazingira-
(i) shambulio kwa maisha ya mtu ambalolinaweza kusababisha kifo;
(ii) shambuliokwa uadilifu wa mtu;
(iii) utekaji wa mtu.
Hivi kwanini vile vitu yaani simu na ile diary havijakaguliwa leo leo kabla hajarudishiwa?? Nimesikia Jaji akisema atabakiza diary huku simu akisema arudishiwe shahidi. Wanaweza kuja weekend hii nakufanya mabadilisho. Hawa watu ni mabingwa wa kufanya editing nyaraka za Mahakama. Ni hayo Tu Mh TindoKuna ushirikiano mkubwa wa kihalifu kati ya serikali, mahakama na vyombo vya dola. Haya ni matokeo ya kuwa na serikali iliyoingia madarakani kwa wizi wa kura, kwa vyovyote lazima itatenda kazi zake kwa njia za kihalifu.
Du! Hata aibu huna?mawakili wa utetezi wanakosa cha kuzungumza wanakosa hoja za msingi mpaka wanaona vitu kama diary na peni vinamsaidiamshahidi kutoa maelezo? inamaana simu anaweza kuitumia hapokupata majibu kweli? hapo hakuna mawakili wa utetezi ni njaa tu zinawasumbua
Hilo ni swali muhimu sana, lakini inaelekea kuna swali muhimu zaidi ya hilo linaloelekea kujitokeza kwenye kesi hii:Hivi wale walioiba nyaraka toka kwenye stoo ya Mahakama bila mahakama kujua wakaja nayo mahakamani wanachukuliwa hatua gani?
Wakiingia kwenye mstari ulionyooka watanasa nakuweka mengine wazi.Mawakili wa serikali wametikishwa sana na hoja za upande wa utetezi kiasi cha kupoteza umakini wa kuzungumza kwa hoja kama mawakili wasomi wanavyotakiwa kujibeba wakiwa wanatekeleza majukumu yao.
shahidi kaingia na nyenzo kizimbani tayari wa vita - bila kujali masharti ya kizimbani yakoje - ye anasema ati ni vita mula ushindi ni lazima ije nvua lije jua.. 🤣🤣🤣🤣
Uchumi wa kukosa winchi ya kuinua tani 26 nchi nzima kwanye bwawa la nyerere? Sijui kwanini mazezeta bado wengi nchi hii.MBOWE NI GAID KATIBA SIYO KIPAUMBELE KWA SASA TUNATENGENEZA UCHUMI HIYO KATIBA ITASAIDIA NINI ZAIDI YA HUO UCHU WENU WA MADARAKA TU
Hapana, You are deadly wrong, Katiba ya Tanzania ibara ya 13 inasema kuwa kila mtu anahesabiwa innocent hadi hapo Mahakama itakapojiridhisha kuwa ametenda Kosa na ibara ya 107 ikasema kuwa Mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya Mwisho katika kutoa HAKI. Sasa wewe kuendelea kusema MBOWE ni Gaidi kabla ya mahakama, madhara yake kisiasa ni kwamba kesi hii ni ya Kisiasa na maamuzi yamekwishafanyika Nje ya Mahakama which is very fatal in all countries abiding to rule of law and constitutionalism.
Wasije wakaenda Kesho jumamosi kuibadilisha mahakamani!!Naona kesi ndogo ya diary imeibuka ndani ya kesi ndogo ya kesi kubwa. Kazi ipo
Justice must not only be done but seem to be done... anzia hapo huku ukijikumbusha kuwa hiyo ni open court, ingia hata google.Nlikuwa najuiliza hiv kwa nn kesi huwa haziruhusiwi kulipotiwa kwenye vyombo vya habari?? Ckuwa nmeelewa ila kwa Sasa ninajua kabisa kwa Nini, ukiwasoma mawakili wote, Ni Kama vile huwa wanasoma walichokisema baada ya kutoka mahakamani, na wanasoma na maoni mbalimbali, then wanachanganya na taalum, kinachokuja kutekea wanaenda na puplic mood, na hlo Ni Jambo la hatari mno mno kisheria(wanasheria watakuwa wanajua hasa madhara yake)
Ila itoshe tu kusema kesi hii itachukua mda mrefu mno kwa sababu kila hatua itakuwa na mapingamizi na ukiangalia Ni Kama wanacheza na puplic mood, na nanaweza kuhis na jaji au majaji wanaweza kuingia humo.
Anyway hyo ndo transparence..
Shahidi kakutwa na diary na pen akinukuu majibu, kesi ya kubumba ni fedheha.YAANI huo ujinga wenu wa kufurahia ugaidi unaingia nchini na watu wenye tamaa kina mbowe haukubaliki mbowe lazima alle miaka mingi sana na akiachiwa tunakuja kumpiga hata na mawe huku mtaani MBOWE GAIDI
Bashite wewe kiazi ulifeli darasa la nne mara 4 la saba mara 2 chuo.Moshi walikudisco ukarudi umeapa kubaki jina ukamaliza kwa nguvu za sita kwa sababu alikuondoa marinda habari yako Tanzania nzima tunaijuwa so usijitoe ufahamuKuna jamaa hapo pichani tumesoma naye chuo na alikuwa Ana feli Sana Ni mbishi Sana na kweli alikuwa mwanasiasa kutwa kuiponda ccm..kweli asee mpk kwenye kesi ameenda Basi anaipenda cdm toka moyoni nimeamini Leo
Mkuu sijasema popote kuwa wananukuu public mood, nilichosema ukiwasikiliza na ukochora body language yao kifasihi utagundua kuwa kuna mahari Ni Kama wanakwenda na public mood, japo hawawez wakasema, ili ujastfy heb Angalia kile kibatara alichokise wakati anatoa zuio la kukataa kielelezo, mpka akasema hyo mtu ana diary cjui sim[emoji15][emoji15] cjui kama unanielewa, Sasa Angalia chanzo Cha alikotoa hyo taarifa, unaweza kuona how public mood inavyo waendesha wanasheria wetu, na ujue hata ile kesi ya yule mkuu wa wilaya ingekuwa inarepotiwa hivi Bila shaka isingekuwa imeisha...Justice must not only be done but seem to be done... anzia hapo huku ukijikumbusha kuwa hiyo ni open court, ingia hata google.
Pia mapingamizi hayo ni ya kisheria ndio maana wananukuu vifungu vya sheria na maamuzi ya kesi za nyuma, sijasikia upande wowote ukinukuu 'public mood'