Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Kuhusu hilo jambo la
Kibatala, ni jambo la kiuchunguzi tu. Na ndio maana alimuambia judge kuwa amepata taarifa na amejiridhisha kuwa kuna kitu kama hicho, na kweli ikawa hivyo. Wewe unaona hilo linathibitisha hoja yako ya public mood?

Ni kweli huwa kunakuwa na pressure kutoka kwa umma kwenye baadhi ya kesi lakini watu wote waliopo kwenye legal fraternity wanajua jinsi ya ku manage. Na ndio maana hutakuja kusikia jaji ametoa comment kwenye vyombo vya habari au kujibu suala lolote lile. Sijui umenipata? Najaribu kusema usiwe na shaka yoyote kuhusu hiyo 'public mood'
 
Kwani ni lazima hii kesi iendeshwe?
Mhasibu wa Takukuru alikuwa na makosa 42 na yupo huru.
Hizi gharama zakuendesha kesi kama wanajua ugaidi haukufanyika na waliuzuia si bora waliouzuia wapewe zawadi na waliokusudiwa kufanya wainywe na wawe kwamatazamio.
 
Kwanini kabla ya upekuzi alivitoa yeye mwenyewe.
Kwanini baada afisi wa mahakamani kuvichukua alitikisa kichwa.
Tafadhali leteni picha ya J4 na Msemwa tunaelekea Njombe had I Makete
Kibatala alisema kuwa jamaa ana vitu vingi zaidi ya hivyo ila kutokana na ubinadamu wanaamua kutokuomba ruhusa ya kumpiga full search....means jamaa alijikoki.
 
Kibatala alisema kuwa jamaa ana vitu vingi zaidi ya hivyo ila kutokana na ubinadamu wanaamua kutokuomba ruhusa ya kumpiga full search....means jamaa alijikoki.
Mfumo wa mihimili na taasisi zinahitajika kuwa na muundo wa kuiogopa KATIBA ya Nchi siyo Mkiti wa chama Fulani.Lisu anajua sheria,akiwa Rais si atatumia mwanya huohuo kwa udhaifu wa mhimili mmoja kuwa juu na hakuna wakumuonya.KATIBA BORA ni muhimu kuliko hata Sensa yakujua tuna mbwa wangapi?
 
You nailed it Brother
 
Mimi MTU akishabikia ujinga wa CCM huwa naishia kumchukia sana, nilishavunja mahusiano kisa alishabikia CCM....nikaona kuna siku nitakuja kumvunja NTU kalio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…