Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Inapigwa siasa ujue Mbowe akiachiwa leo joto la Siasa litakuwa juu sana so wako tayari kufilisi Nchi kwa kesi yakijinga ili kumzuia Mbowe asiwe huru

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
CCM hawana tatizo,tatizo ni Msajili,IGP,Mahela na Subfer.hawa wakiwa wanasimamia sheria hata hiyo misafara hungeiona kwakuwa pesa ingebanwa.
Ndugu unatenganishaje cccm na majanga ya nchi hii hawa sindio wako mamlakani kabla na tangu uhuru

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Unamzidi jaji kujua taratibu za mahakama eti ... U umpumbafu sana
 
Swali hapa ni kwamba, ni mashahidi wangapi waliingia na Madesa? Mungu aendelee kutusaidia kuyashuhudia kwa macho ya nyama Haya maovu ya akina Ustadhi Kingai
Acha kuudhalilisha UUSTADHI,tafuta tafsiri sahihi la neno USTADHI

Huyo hawezi kua ustadhi EVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…