Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

Wanamleta shahidi mwingine wakati hawajamalizana na Jumanne?

Hii kesi itafutwa ila wanashindwa namna ya kuanza kufuta maana kuna madudu mengi
 
Hivi wale walioiba nyaraka toka kwenye stoo ya Mahakama bila mahakama kujua wakaja nayo mahakamani wanachukuliwa hatua gani?
Ngoja kwanza tuone Polisi, Mahakama watafanya nini.
 
❤️ SOMA NENO LA MUNGU❤️

📖 Isaya 8: 10 - 13

🔥10 Fanyeni shauri pamoja, nalo litabatilika; Semeni neno, lakini halitasimama; Kwa maana Mungu yu pamoja nasi.

🔥11 Maana Bwana aliniambia hivi, kwa mkono hodari, akanifundisha nisiende katika njia ya watu hawa, akisema,

🔥12 Msiseme, Ni fitina, katika habari za mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni fitina; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.

🔥13 Bwana wa majeshi ndiye mtakayemtakasa; na awe yeye hofu yenu, na awe yeye utisho wenu.

🙏🏼🙏🏼❤️ Mbingu Ipo❤️🙏🏼🙏🏼
 
Kuna ujinga ambao watu hufikiria k uwa kanzu ni vazi la Kiislamu. Kanzu ni vazi la utamaduni wa mashariki ya kati, haijalishi atakayelivaa ni mpagani au dini nyingine, ni vazi la mashariki ya kati.
Hayo unaleta wewe
 
Huyu anayereport leo vipi mbona anarukaruka tu hatupati mtiririko mzuri. Kuna shida gani hapo aiseee
 
UNAWEZAJE KUSHINDANA NA MWENYE NYUMBA UKIOLEWA LAZIMA UTOE SASA WEWE UNALETA UJANJAHAPA MUMEO ANAKUITA IMESHASIMAMA HUKO KAINAME
Ndugu yangu,
ninakuombea kwa Mungu ili upate UJASIRI na nguvu za kumkataa shetani na mambo yake yote ili umrudie Mungu. AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…