Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Kwenye Kesi hii.Judge anaenda kuchanganyikiwa..sababu kuu ni kuwa anajua kuwa utetezi wana Hoja..na hoja yao ni ushindi kwa uteteZi lakn afanye nin mana Mfumo uliomuweka unakomand nini afanye...frustrating the Man!!
 
huyo mboe na mawakili wake wanataka kuisumbua mahakama.
isiwaendekeza hao vinginevyo watakesha.
au kama vipi, waachwe mahabusi mpaka 2025 ndio kesi iendelee.
hapo akili zitawakaa sawa.
haiwezekani mahakama ina nia ya kuharakisha kesi halafu wao wanaleta utoto mahakamani, sasa nani ndio Jaji? Mawakili wa mboe au Jaji?
lazima waheshimu maamuzi ya Jaji hata kama hayawafurahishi.
Lengo la mawakili wa mboe ni kutaka kumchanganya Jaji ili apoteze mwelekeo.....hilo halikubaliki.
Small mind always reasons the way you do.
 
Yaani mpaka Leo mbowe anasumbuliwa buure tu hakuna ushahidi wowote wa ugaidi anaohusika nao
Kusumbuliwa bure Kwa Mbowe ndio mission au main objective au tuseme ndio motive behind the case! Kwahiyo kadiri anavyosumbuka ndio mission inakuwa accomplished!
 
wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
Nakwambia kawaeleze Al Shababu kwamba Kuna ugaidi wa laki sita watacheka wavunjike mbavu. Pia waeleze gaidi aliyekamatwa wanasafiri naye masaa na wanakula mtori na MO energy na kubadilishana mawazo, atakuona wa ajabu.
 
Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
Kielelezo Cha ugaidi detention register na miamala ya TIGO! Masihara haya jamani!
 
Duuuuu hii dunia ni ndogo mno leo hii mbowe ni gaidi!!!!!!!!!!???
Mungu ndiye anajua atalipa kwa haki maadam wote tunapita hata walioko juu watashuka ardhinu
 
Kielelezo Cha ugaidi detention register na miamala ya TIGO! Masihara haya jamani!
Detention register yenyewe ya kughushi ghushi tu hadi shahidi anaingia na desa lenye maswali na majibu. Muamala wa tiGo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MAGAZETI_YA_LEO_18_11_2021.jpg
 
Tusubiri tuone pingamizi litatupwa au litakubaliwa?

Uwezekano wa hiyo objection kutupwa ni mkubwa sana. Kuna nguvu kubwa ya hoja katika oral arguments za upande wa prosecution. Upande wa defense kimakosa wanadhani zile kesi ndogo zina uwezo wa kusimama kivyake!
 
Uwezekano wa hiyo objection kutupwa ni mkubwa sana. Kuna nguvu kubwa ya hoja katika oral arguments za upande wa prosecution. Upande wa defense kimakosa wanadhani zile kesi ndogo zina uwezo wa kusimama kivyake!
Mimi siyo mwanasheria lakini nimeona jaji anatokea anga hizi kupangua mapingamizi.
 
Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
 
Liko wapi lile jitu na wafuasi wake walizushaga, eti kina Mbowe wanatangulizaga wanyonge kwenye hizi vita za ukombozi wao na familia zao, waakula bata?! Eti “Mwambie aandamane yeye na mama ake!!” Mbowe ameubeba mzigo wa upinzani mwenyewe, na status ya ushujaa na u-Mwamba wa siasa za Tanzania ni haki yake! Mbowe ni mfano bora kujitolea maisha kwa kile unacho amini!
Umezungumzia jambo zito.

Lakini hata kabla ya mzigo huu wa heshima walioamua kumtwisha, Mbowe taya

Baada ya hapa, kazi iliyobaki ri alishajipambanua na kujitoa mhanga kwa kukataa kusujudia hawa watawala baada ya kupambana na kuzishinda mbinu zao zote za kutaka kuiangamiza CHADEMA. Dhoruba zote walizozielekeza kwake wakidhani zitamfanya aitoe CHADEMA kama sadaka zilishindwa; kuanzia uharibifu wa biashara, mashamba, jela n.k.

Haya yanaypomkabili sasa hivi ilikuwa ndiyo fimbo yao ya mwisho katika kumwondosha, lakini naona kwa vile muasisi wa mbinu hii hayupo tena, hii nayo imekwisha buma.

Litakalokuwa limebaki sasa baada ya hapa, ni kazi moja tu wanayotakiwa Mbowe na CHADEMA kuifanya kabla ya 2025, kuhakikisha kwamba uchaguzi wa mwaka huo hauwezi tena kufanyika katika mazingira ya "uchafuzi" waliouzoea CCM.
 
Back
Top Bottom