mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Small mind always reasons the way you do.huyo mboe na mawakili wake wanataka kuisumbua mahakama.
isiwaendekeza hao vinginevyo watakesha.
au kama vipi, waachwe mahabusi mpaka 2025 ndio kesi iendelee.
hapo akili zitawakaa sawa.
haiwezekani mahakama ina nia ya kuharakisha kesi halafu wao wanaleta utoto mahakamani, sasa nani ndio Jaji? Mawakili wa mboe au Jaji?
lazima waheshimu maamuzi ya Jaji hata kama hayawafurahishi.
Lengo la mawakili wa mboe ni kutaka kumchanganya Jaji ili apoteze mwelekeo.....hilo halikubaliki.
Kusumbuliwa bure Kwa Mbowe ndio mission au main objective au tuseme ndio motive behind the case! Kwahiyo kadiri anavyosumbuka ndio mission inakuwa accomplished!Yaani mpaka Leo mbowe anasumbuliwa buure tu hakuna ushahidi wowote wa ugaidi anaohusika nao
Wamekamatwa na majibu, lakini hawakuonekana wakitazamia😆😆😆😆😆😆🤗🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambia kawaeleze Al Shababu kwamba Kuna ugaidi wa laki sita watacheka wavunjike mbavu. Pia waeleze gaidi aliyekamatwa wanasafiri naye masaa na wanakula mtori na MO energy na kubadilishana mawazo, atakuona wa ajabu.wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
Kielelezo Cha ugaidi detention register na miamala ya TIGO! Masihara haya jamani!Kwani wewe hufuati mkumbo? Wamekamatwa na vitu/vifaa gani vya kutenda ugaidi au mnakurupuka tu maigizo yenu? Bastola ya kumshikisha mtu ndio zana ya ugaidi? Kwani mama yako hana bastola?
Detention register yenyewe ya kughushi ghushi tu hadi shahidi anaingia na desa lenye maswali na majibu. Muamala wa tiGo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kielelezo Cha ugaidi detention register na miamala ya TIGO! Masihara haya jamani!
......... na KUUWA baadhi ya viongozi hata kama ilikuwa bado haijatekelezwa..
Jambo gani? ile diary karatasi zilishachanwa.
Tusubiri tuone pingamizi litatupwa au litakubaliwa?
Lisemweee....!
Walisahau/walipitiwa... Walitiwa upofu wakasahau baadhiJambo gani? ile diary karatasi zilishachanwa.
Hii kesi iendelee hivi hivi ili dunia na wanadunia tuendelee kuona uozo wa Mahakama na siasa za watawala wa Tanzania
Mimi siyo mwanasheria lakini nimeona jaji anatokea anga hizi kupangua mapingamizi.Uwezekano wa hiyo objection kutupwa ni mkubwa sana. Kuna nguvu kubwa ya hoja katika oral arguments za upande wa prosecution. Upande wa defense kimakosa wanadhani zile kesi ndogo zina uwezo wa kusimama kivyake!
Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Umezungumzia jambo zito.Liko wapi lile jitu na wafuasi wake walizushaga, eti kina Mbowe wanatangulizaga wanyonge kwenye hizi vita za ukombozi wao na familia zao, waakula bata?! Eti “Mwambie aandamane yeye na mama ake!!” Mbowe ameubeba mzigo wa upinzani mwenyewe, na status ya ushujaa na u-Mwamba wa siasa za Tanzania ni haki yake! Mbowe ni mfano bora kujitolea maisha kwa kile unacho amini!