KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu, hawa majaji wanapoteza fursa nzuri sana waliyopewa, huyu na mwenzie aliyemtangulia kwenye kesi hii.Kwenye Kesi hii.Judge anaenda kuchanganyikiwa..sababu kuu ni kuwa anajua kuwa utetezi wana Hoja..na hoja yao ni ushindi kwa uteteZi lakn afanye nin mana Mfumo uliomuweka unakomand nini afanye...frustrating the Man!!
Hawa watu wa dini wamezidhalilisha sana dini zao na wao wenyewe kujivunjia heshima.Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Kwani wenyewe, wenye gazeti hawawezi kurudi kwenye mitambo tena na kuchapa nakala zaidi? Nazo zikinunuliwa zote, si hiyo ndiyo biashara kwao, au watapewa masharti?Kuna taarifa kwamba Gazeti hili litanunuliwa lote kabla hakujakucha , wahi nakala yako mapema uweke kumbukumbu
Msigwa ameshadraft barua... Tanzania tabu tupuKwani wenyewe, wenye gazeti hawawezi kurudi kwenye mitambo tena na kuchapa nakala zaidi? Nazo zikinunuliwa zote, si hiyo ndiyo biashara kwao, au watapewa masharti?
These are satansHawa watu wa dini wamezidhalilisha sana dini zao na wao wenyewe kujivunjia heshima.
Ni ajabu kwamba baada ya yote yale hawaoni haya/soni/aibu hata kujitokeza mbele za watu!
Wafunge yeye na wanaccm waabudu mizimu ila sio MunguMufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Wewe hadi akili ime retire!Mufti, utanisamehe, acha ujinga! Wewe na wapuuzi wenzako mlikuwa msitari wa mbele kutuaminisha waumini kuwa kwa Amri ya Magufuli mmefunga siku tatu a Corona imeisha. Matokeo yake watu wamepoteza maisha kwa ujinga wenu huu huu. Leo unaleta talalila tena za maombi ya mvua! Rubbish, stop that nonsense!
Unamdhihaki Mungu ila mkibanwa kwenye kona utasikia Mungu yupo atasikia kilio chenuWafunge yeye na wanaccm waabudu mizimu ila sio Mungu
Sisi tuna Mungu. Nyinyi na mtu wenu mna mungu wenu wa Chato.Unamdhihaki Mungu ila mkibanwa kwenye kona utasikia Mungu yupo atasikia kilio chenu
Mungu wenu sasa kwanini asimchomoe gaidi pale jela?Sisi tuna Mungu. Nyinyi na mtu wenu mna mungu wenu wa Chato.
Alishachomoa Jiwe kwanza hilo tunashukuru. Na wenginr ataondoka naotu. Hachelewi wala hawahi.Mungu wenu sasa kwanini asimchomoe gaidi pale jela?
Wewe mjane bwana wako huko kuzimu ni mwendo wa kupelekeshwa kukusanya kuni.Mungu wenu sasa kwanini asimchomoe gaidi pale jela?
hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai.Jambo jipya hili....
Kwa hiyo jeshi la Tanzania lina waasi?hujui au umesahau kuwa mboe alikuwa na mpango wa kumuua aliyekuwa DC wa Hai. kama mboe alijaribu kutaka kumuua DC Sabaya swali la kujiuliza je atakuwa alisha tekeleza mauaji kwa watu wangapi ambao huenda mamlaka hazikubaini?...
Ugaidi ni vitendo sio dhamira ni sawa na wizi au uchawi vyote ni vitendo. Japo mwanzo wake ni dhamira kitendo ni lazima ili mtu aitwe mwizi, jambazi, gaidi nk.wewe ulidhani ugaidi ni lazima uwe na mamilioni?! halafu usisahau kuwa mboe ni mchaga!! pesa haitoki ovyo!
yote na yote ugaidi au uhalifu wowote ule haupimwi kwa kiwango cha fedha bali dhamira/maandalizi na kuuelekea utekelezaji.
hata hivyo unaweza kunaswa na kutiwa nguvuni hata kama bado uko kwenye mipango na ukashitakiwa, kama yalivyo mkuta mboe na wenzake.
Msimamo wa JPM kuhusu korona ndio msimamo sahihi zaidi dunia nzima.Wewe hadi akili ime retire!
Waliokufa kwa mamilioni huko ulaya na kwingineko wamekufa kwa ujinga wa nani?