Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Hii kesi naona Tiganga haiwezi mpaka aimalize atakuwa ashazeeka kwa mawazo na maelekezo na zaidi kwa hoja mujarabu za upande wa utetezi sina uhakika kama anazielewa vizuri. Wasiwasi wangu huenda akajitoa kwenye kesi.
 
18 November 2021

WAKILI WA MBOWE AFICHUA KILA KITU KINACHOENDELEA KATIKA KESI YA MBOWE, HALI NI TETE


Wakili afafanua kwa kina yote yanayoendelea mahakamani kuhusu Kesi Namba 16 / 2021 ya Uhujumu Uchumi, Utakasishaji fedha na ugaidi inayowakabili Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzie watatu Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya. Wakili kwa lugha rahisi afafanua kinachoendelea kisheria kuhusu kesi hiyo katika Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi Sinza, jijini Dar es Salaam Tanzania .
Source : Mubashara Studio
 
If you're fool, you don't know that you're fool, it's the same as when you die, you don't know that you're dead only people know that you're dead. So I can only say sorry to you.
Huyu mtu Iboya2021 & zandrano ni mtu mmoja lakini akitumia two identities..

Cheki ujengaji hoja wake, unafanana...

Na likely, hizi mbili zote ziko set kwa mfumo wa robots hazifikiri wala ku - reason chochote..
 
Hivi umeelewa hata ulichoandika kweli?
 
Hapana Alicho eleza ni tofauti na doctorine yenyewe, yeye amealeza views zake/ personal interpretation, mtizamo wake sio falisafa yenyewe..........

Apo nimekuelewa mkuu.

Maelezo kua "nyaraka iliyotolewa maamuzi, haiwezi ludi bila kuombwa kisheria, tofauti na walivyo fanya washitaki"
...
haya ndo hakuyaweka.
 
Siasi zilivyo za ajabu unawezakuta hawa ni Watu wa karibu sana na Mbowe au ukute ni MDEE na MNYIKA. Ukiangalia jinsi Iboya anavyochangia mijadala muda wote inawezekana akawa ni LEMA anam SNITCH jamaa
🤔
Mkuu Iboya sio level za watu wenye akili kubwa kama LEMA na MNYIKA.

sikwamba sizani, ila haiwezekani kabisa yani...

🌍
🇹🇿
✌🏼
 
Funtus [no], Functus [yes]
 
Mie nakuona hujawaelewa Hawa mawakili wa serikali,wanamurazimisha jaji akubaliane na vipengele walivyovitayalisha na Kisha kitumika sheria,kwa mtindo huu wakutaka kufanikiwa kila kesi ninahakika hawatashinda.jaji anasikiliza upande wa serikali ili kitumbua kisianguke kwenye mchanga..
 
Kuna namna ya kutafsiri kwa lugha ya kawaida Ili wengi tuweze kufuatilia?Mnaandika kwa lugha ya kisheria kiasi kwamba wengi hatuelewi labda mpaka uwe na basic knowledge ya sheria.
 
Tatizo lenu nyie Warombo mnaamini siasa ni uadui!

Kuwa CCM haimaanishi nipinge hata mazuri ya Chadema.

Nyie ndio aliwasema Katambi kuwa ni chombo cha kubebea Zege.

We mrombo bure kabisa!
EeenHeee! Kichaa kimepanda tena, kila mtu sasa ni 'Mrombo'?

Kuna siasa gani unayoijua wewe. Nilishakukanya hapa kwamba hakuna siasa inayotumika hapa katika uhasama unaofanywa na hao watu walioko CCM kuwaumiza/kuwaua wasiokuwa upande huo. Hiyo ni siasa gani ya kuwatumia mapolisi (uhasama), kama siyo uadui?

Unaandika mambo bila hata kuyatafakari maana yake ni nini, mradi tu umeyaweka hapa!
 
In my opinion, huyu jaji pamoja na kwamba anatekeleza maagizo fulani kutoka pahala lkn uwezo wake pia kitaaluma ni mdogo, ni "Novice" kabisa.

Kadri siku zinavyozidi kusogea ndio ukweli huo utakavyozidi kudhihiri. Tuweke macho.
Tatizo linalomkabili ni kwamba, akikubali tu mapingamizi haya, kesi nzima itakuwa imeporomoka!
 
Natoa Ushauri wa Bure kwa Jopo la Mawakili Upande wa Bowe;

1. Watafute kiongozi mwengine wa wa Jopo lao ili awe kiongozi wao, wamtamtafute wakili wa zamani mtu mzima na mzoefu wa muda mrefu, mfano kama Kina Mabere Marrando, Taslima, sio lazima hao lkn mfano wa hao.

Moja kati ya hao wazee wazoefu wa siku nyingi ndio anapaswa kuwa kiongozi wa jopo lao sio Kibatala au Malya kama ilivyo sasa.

kwa sasa Jopo lililopo limewaka moto, yaani wote pale injini zina chemka hivyo lazima kuwepo na "coolant" engine.

Faida yake wataiona wakati wa kuendelea kusikiliza kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…