Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haikuwa ya kwako ndungu, ila ilikuwa ya uliye quoteItakosa kuwa weye mwanga kweli.
Haki itendeke na ionekane ikitendeka.Najaribu kuwaza endapo na Lissu angekuwa hapo na akina Kibatala.Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.
Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Jaji wa kwanza walimchafua na kumkataa.
Jaji wa pili alijitoa kwa sababu ya majukumu lkn walimchafua na kumkejeli.
Sasa Jaji huyu watatu naye wameanza kumchafua na kumkejeli.
Wanacho kifanya mawakili na wafuasi w mboe ni kutaka kuivuruga mahakama au kuishinikiza ifanye maamuzi kama wanavyo taka wao na sio vinginevyo.
Mahakama haipaswi kuingia ktk mtego huo wanao ufanya hao watuhumiwa na wafuasi wao.
Moto ungekuwakali zaidi.Haki itendeke na ionekane ikitendeka.Najaribu kuwaza endapo na Lissu angekuwa hapo na akina Kibatala.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Siasi zilivyo za ajabu unawezakuta hawa ni Watu wa karibu sana na Mbowe au ukute ni MDEE na MNYIKA. Ukiangalia jinsi Iboya anavyochangia mijadala muda wote inawezekana akawa ni LEMA anam SNITCH jamaaCremia, Iboya, comte, nyie nyote ni sehemu ya timu bambikizi, pengine miongoni mwa wapiga chabo 24.
Ukiniambia ni ile timu19 naweza elewa.Siasi zilivyo za ajabu unawezakuta hawa ni Watu wa karibu sana na Mbowe au ukute ni Mdee na Mnyika na Lema
Bebe nang'we nkoi, iiiiiihh...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!
Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
FUSO, lakini mimi naona Jamhuri kwa ushirikiano na jaji ndio wanayafanya mambo yazidi kuwa magumu. Bahati mbaya yanakuwa magumu kwa upande wao wenyewe. Wanajichanganya sana. Pingamizi likiwekwa leo kesho uamuzi unasema halina mashiko siku ya tatu kitu hicho hicho upande wa utetezi wakikitumia Jaji na Jamhuri wanasema wanakikataa. Kwahiyo wanabaki kujichanganya tu hadi jaji anashindwa kutoa ruling kwa kitu chepesi kama kukutwa na nyaraka ambayo utaratibu haujafuatwa kupanda nacho kizimbani.mambo yanazidi kuwa magumu kwenye kesi hii - tutashuhudia mengi.
Huyu ni boya, asikukoseshe utulivuTulia we mzee wa Rau Madukani, naona hata mwenendo wa kesi hii hauujui.
Dogo, hata Kama una shida na hiyo buku Saba basi jitahidi kuficha upumbavu wako kwenye mvungu wa mwili wako! Unajichoresha mno kwenye haya mambo ya mahakama na ni Bora usome TU na kupita kwani hutachekwa!Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.
Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Jaji wa kwanza walimchafua na kumkataa.
Jaji wa pili alijitoa kwa sababu ya majukumu lkn walimchafua na kumkejeli.
Sasa Jaji huyu watatu naye wameanza kumchafua na kumkejeli.
Wanacho kifanya mawakili na wafuasi w mboe ni kutaka kuivuruga mahakama au kuishinikiza ifanye maamuzi kama wanavyo taka wao na sio vinginevyo.
Mahakama haipaswi kuingia ktk mtego huo wanao ufanya hao watuhumiwa na wafuasi wao.
Unasema kweli! Yaani wewe humo kwenye hizo baraka? Ndiyo maana unaonekana mara kwa mara kama umechanganyikiwa; usijue ushike lipi uache lipi!Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kagera mojaHuyo jamaa ni mwenyeji wa mkoa gani mkuu?
Akutobhesya mukoroti mnyaki huyu
Bora yeye mwizi kuliko wewe mbakaji
Hujui lolote ungekaa kimya unhesaidia kuficha ujinga wako. Kupinga kupolelewa Kwa vielelezo feki ni wajibu wa Utetezi. Kwa ukosefu wa akili ulionao unajiona umetoa point ya maana?Wameshasoma mchezo ushahidi wote ukipokelewa dikiteta hachomoki,dawa ni kuweka pingamizi ushahidi ukipokelewa.
Kwa mapingamizi haya kesi inaweza chukua mwaka mzima.
Shemeji yake ni diwani wa CCM, Kwa hiyo anatetea maslahi ya Dada yake wala hajui lolote.Wewe utakua uko kazini ili kuvuruga public opinion au naturally a fool
Hujui impact ya hi kesi kwa taifa hili, inaweza kusabaratisha serikali kabisa, au kufanya chama tawala kutawanyika au Amani ya nchi kupotea kabisa the earlier the better kwa vyovyote hi kesi imelizike haraka iwezekanavyo.
Hizi siku mbili umekuwa na aklli utadhani siyo wewe?Hata kwenye mpira wa miguu kuna VAR
Una kisu kama kielelezo kwenye kesi ya mauaji, unaleta Shahidi wa Kwanza ku tender kielelezo hicho upande wa Utetezi unapinga upatikanaji wake Hadi kufikia kuletwa mahakamani. Unaleta Shahidi wa pili unamtaka Ku tender kielelezo kilekile ambacho Mahakama awali ilisema hakikufika mahakamani kihalali, hiyo ndo hoja ya Utetezi. Ni mtego Kwa Mahakama maana wakiruhusu wataonekana lile pingamizi la juzi walilipokea wakijua mbele wataruhusu Shahidi mwingine kuingiza kielelezo hichohicho.Functus officio is a Latin maxim which means that the jurisdiction of the designated authority comes to an end once he has performed his functions for which he was appointed. Once the award is delivered to the parties, the arbitral tribunal cannot review their own award and becomes functus officio.
Kwa muktadha wa kesi hii mawakili wa utetezi wanasema kidhibiti kinachotakiwa kuwa- kilishwa mahakamni hakiwezi kupokelewa kwa sababu kilisha tumika kwenye kesi ndogo na mahakama kukitolea uamuzi na kwa kufanya hivyo imejifunga.
Upande wa serikali wanasema kielelezo hicho kilitumika kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa- hivyo mlango wa kutumiwa tena upo na hiyo FUNCTUS OFFICIO hajafikiwa kwa hiyo haiwezi kuwabana wao wala mahakama
UbumbajiUbunifu wa King'aa unawawashia moto wapiga chabo.
UbumbajiUbunifu wa King'aa unawawashia moto wapiga chabo.