Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Akutobhesya mukoroti mnyaki huyuNilitaka kuuliza hili swali pia. Asante sana mkuu. Anayejua atusaidie ili tumfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akutobhesya mukoroti mnyaki huyuNilitaka kuuliza hili swali pia. Asante sana mkuu. Anayejua atusaidie ili tumfahamu
hahahahahahahahahshahahah..............Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.
Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Jaji wa kwanza walimchafua na kumkataa.
Jaji wa pili alijitoa kwa sababu ya majukumu lkn walimchafua na kumkejeli.
Sasa Jaji huyu watatu naye wameanza kumchafua na kumkejeli.
Wanacho kifanya mawakili na wafuasi w mboe ni kutaka kuivuruga mahakama au kuishinikiza ifanye maamuzi kama wanavyo taka wao na sio vinginevyo.
Mahakama haipaswi kuingia ktk mtego huo wanao ufanya hao watuhumiwa na wafuasi wao.
Pamoja na tuisheni za mara kwa mara pamoja na kubebeshwa (missile)desa, kesi ya kubumba inazidi kupwaya.Hilo gaidi la nini piga ndani tu
waambie mawakili wako wasiwe wavivu, hivi maana ya kuitwa Wakili msomi unaijua? au upo upo tu kushabikia mambo usiyoyajua.Kibatala saliti
Acha uongo na uzandikiecononist- wewe humjui Mbowe na kwa sababu humjui nakusamehe.
Mbowe thought he could get away with it- this time amekwamana ili maneno ya waswahili yatimie- NDEGE MJANJA HUNASWA NA TUNDU BOVU
Wajukuu au vitukuu vyake watakuja kulipa matunda ya dhuluma na uonevu wao.Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!
Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Upo sahihiJaji hana uwezo na hilo linazidi kudhibitika siku hadi siku, hata yeye hapo alipo anajua kabisa kaingia kwenye tatizo kubwa. Huyo jaji asingekuwa na hukumu toka kwa rais mkononi, angeweza kufanya kazi yake vizuri. Lakini kitendo cha kukubali kupewa hukumu na majizi ya kura ndio kajimaliza.
KIBATALA NA GENGE LAKE WAMEPANDIKIZWA NA LISSU KUMUANGAMIZA MBOWE NDIYO MAANA KILA SIKU WANAWEKA MAPINGAMIZI YANAYOTUPWA KILA SIKU
Kesi ndogo ina nafasi kwenye kesi kubwa, ndio maana Mawakili wote wanapambania wanacho kitetea.Hoja hapa ni kuangalia hiyo nafasi ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa.
Yeah sure comte.Turudi shuLeni kwenye hisabati- unatakiwa uonyeshe njia na jibu - ukitoa kimoja huwezi pata 100 kwa 100.
TATIZO MAWAKILI WA SERIKALI HAWABEBEKI HATA KWA MBELEKO YA BLANKETMbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.
Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Jaji wa kwanza walimchafua na kumkataa.
Jaji wa pili alijitoa kwa sababu ya majukumu lkn walimchafua na kumkejeli.
Sasa Jaji huyu watatu naye wameanza kumchafua na kumkejeli.
Wanacho kifanya mawakili na wafuasi w mboe ni kutaka kuivuruga mahakama au kuishinikiza ifanye maamuzi kama wanavyo taka wao na sio vinginevyo.
Mahakama haipaswi kuingia ktk mtego huo wanao ufanya hao watuhumiwa na wafuasi wao.
kama nipo sahihi, unachohitaji mulwanaka nihiki alicho kifafanua comte.Sasa tuwekea kwa kiswahili pia ili tujadili kama jaji wetu kweli unataka kurevist his ruling kuhusi ile exhibit detetion register.
Comte, mimi nita highlight hapa,Functus officio is a Latin maxim which means that the jurisdiction of the designated authority comes to an end once he has performed his functions for which he was appointed.
kisha akaeleza kwakiswahili hivi kwa kurelate na Kinachoendelea MahakamaniOnce the award is delivered to the parties, the arbitral tribunal cannot review their own award and becomes functus officio.
Kwa muktadha wa kesi hii mawakili wa utetezi wanasema kidhibiti kinachotakiwa kuwa- kilishwa mahakamni hakiwezi kupokelewa kwa sababu kilisha tumika kwenye kesi ndogo na mahakama kukitolea uamuzi na kwa kufanya hivyo imejifunga.
Upande wa serikali wanasema kielelezo hicho kilitumika kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa- hivyo mlango wa kutumiwa tena upo na hiyo FUNCTUS OFFICIO hajafikiwa kwa hiyo haiwezi kuwabana wao wala mahakama
Aamue yeye tu kutoelewa na lengo letu siyo kumlazimisha mtu kuelewakama nipo sahihi, unachohitaji mulwanaka nihiki alicho kifafanua comte.
👇🏾👇🏾
Comte, mimi nita highlight hapa,
kisha akaeleza kwakiswahili hivi kwa kurelate na Kinachoendelea Mahakamani
Hapana Alicho eleza ni tofauti na doctorine yenyewe, yeye amealeza views zake/ personal interpretation, mtizamo wake sio falisafa yenyewe..........kama nipo sahihi, unachohitaji mulwanaka nihiki alicho kifafanua comte.
[emoji1484][emoji1484]
Comte, mimi nita highlight hapa,
kisha akaeleza kwakiswahili hivi kwa kurelate na Kinachoendelea Mahakamani
Huo sasa ujuha. Kesi lazima isikilizwe mfululizoSasa majaji na wao wasijichoshe, hii kesi wanatakiwa wasiwe wanaisikiliza kila siku, watuhumiwa wake siku 14 kama sheria inavyo tamka. wawe wanaletwa kila baada ya siku 14.
Hana kiwango.Huyu jaji ana matatizo.
Itakosa kuwa weye mwanga kweli.Huo sasa ujuha. Kesi lazima isikilizwe mfululizo
Nonsense. Mahakama imeshapanga kusikiliza kesi mfululizo jumatatu hadi ijumaa, wewe unakuja na mawazo ya kijima ili iweje?Itakosa kuwa weye mwanga kweli.
Nadhani waachwe mawakili wa pande zote wafanye kazi yao. Nilishaeema swala la sheria lina tactics na techenicle. Kuna mbinu na ufundi kwa ajuae haimpi shida. Jaji asimame imara atoe maamuzi kulingana na hoja za mawakili na si busara yake.Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.