Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Mkuu, hata hivyo wanajitahidi sana! Sio kazi rahisi ki-hivyo!
Ndio na huyo anayekosoa ingekuwa yeye siajabu angemaliza kazi hii hatakesho kabsa, kusoma si sawa na kusiliza uandike
 
Mbona mama yako alileta mzaha Kwa Baba yako akakupata uliyekosa heshima. Chunga domo lako. Likanye kutopoka.
 
Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!

Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Nchi haina maji haina umeme, haina hela, mafuta yamebaki ya siku 2 tu, yote hii ni laana ya kutokutenda haki
Mama SSH tenda haki nchi ibarikiwe
Mama Naona anguko kuu laja
 
Mtobesya kiboko hivi ikitokea mie kabuku nisiyeweza kuwapata mawakili kama hawa nikabambikiwa kesi kama ntachomoka kweli
 
jifunze kusoma ,kutafakari na kuelewa ndipo ujibu hoja.je ni wapi kwenye hoja za nawakili wa utetezi waneilazimisha mahakama kufuata matakwa yao? wanachokifanya ni kujenga hoja za kisheria za kuishawishi siyo kuilazimisha
 

Upande wa utetezi siku ya leo pia umekuja na hoja zinazo i-move mahakama na sisi jopo la wasikilizaji wa kijiditali huku kijiweni, ngoja tuone siku ya leo itaishaje ktk mwenendo wa kesi hii ya kihistoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…