Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Naona Ni kizazi Cha wale waliomwambia Pilato siyo rafiki yake Kayafa. Kwa sababu kawaambia sioni kosa kwa Yesu. Mpo wengi. Hao majaji wanajua kumhukumu mtu asiye na makosa Ni ngumu na Ni Jambo linalotesa Nafsi sana. Ndiyo maana wajanja wanajitoa. Wewe unaona wanajizungusha. Unafikiri baadaya ya tukio la Hamza kushambulia na kuuwa alafu angepona kesi yake ingechukua mda mrefu Kama hii?. Acha uzezeta na ushabiki usio na maana.
 
mambo yanazidi kuwa magumu kwenye kesi hii - tutashuhudia mengi.
 
Wenzangu Wanatumia Uamuzi Wako kwamba Uliwafanya wafanye Walichofanya, Hapana Hakuna Sehemu Umesema Naibu Msajili aandike Barua. Tunachojua Mahakama ilitupilia Mbali Kielelezo. Tunachojua Mahakama ilitupilia Mbali Kielelezo. Na sasa Wanacho bila kufuata Sheria na Chain of Custody

Kibatala: Mheshimiwa Jaji Wakati na Wasilisha Kwa kutumia MWONGOZO wa Jaji Mkuu, na Walitaka kuukosoa lakini wakawa Waangalifu.. HOJA YENYE NGUVU
 
Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!

Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
KIBATALA NA GENGE LAKE WAMEPANDIKIZWA NA LISSU KUMUANGAMIZA MBOWE NDIYO MAANA KILA SIKU WANAWEKA MAPINGAMIZI YANAYOTUPWA KILA SIKU
 
hii unaeza sema ni "meaning in meaning"
 
KIBATALA NA GENGE LAKE WAMEPANDIKIZWA NA LISSU KUMUANGAMIZA MBOWE NDIYO MAANA KILA SIKU WANAWEKA MAPINGAMIZI YANAYOTUPWA KILA SIKU
tulia babu, mahakama inafanya kazi kwa kufuata vifungu vya kisheria - hao mawakili wako mdogo mdogo watakimbia mahakama. Nondo walizoshuka mawakili wa utetezi hata kama uliishia form form C lazima uzinyake.
 
tulia babu, mahakama inafanya kazi kwa kufuata vifungu vya kisheria - hao mawakili wako mdogo mdogo watakimbia mahakama. Nondo walizoshuka mawakili wa utetezi hata kama uliishia form form C lazima uzinyake.
ndugu yaani kungekuwa namwanao anasomacomet zako angesema hapa sina baba uhuni anaofanya kibatal unauamini
 
Jaji: nimesikia Hoja zenu wote., ni kwamba najaribu kutafakari kabla sijaamua kupanga maamuzi yawe lini na saa ngapi.. ningeomba dakika 10 nifanye tathimini kisha nitarejea kusema uamuzi ni lini..

Jaji huyoo anatoka!


Huyu atakua Jaji kivuli, Kuna sehemu yapotoka maamuzi ya hii kesi
 
Jaji: Nimefanya tathimini na uwezekano wa Kesho Asubuhi utakuwa ni mgumu, tuje Jumatatu ya tarehe 22/11/2021, Shahidi unaombwa kurudi mahakamani

Washtakiwa wataendelea kuwa chini ya magereza mpaka tarehe 22/112021 Jumatatu Saa 3 Asubuhi

Nawatakia weekend njema,

Jaji anatoka!
 
WAKATI HUO GAIDI AKIENDELEA KUOLEWA GEREZANI
Nakuona Mmoja wa kizazi kile Cha asulubiwe asulubiwe. Pilato anawaambia sioni kosa la huyu mtu mnajibu wewe Pilato siyo rafiki wa Kayafa. Majaji kwa hii kesi ya mbowe wanataka kujiponya Nafsi zao na mateso ya kumhukumu asiye na hatia. Watumeni watoto wenu kuhukumu na kuuwa watu ili laana za damu za watu ziwarudie wenyewe. Watoto wa watu wameomba kazi siyo kuja kuonea watu lakini kwa sababu mpo juu yao mnawatuma kutenda Dhambi. Sasa kwa taharifa yenu wameamua kushika Neno hili. MWANANGU MWENYE DHAMBI AKIKUSHAWISHI KATAA. na watajitoa mpaka akili ziwakae sawa au mpeleke watoto wenu au ZEZETA Kama wewe ukafanye hukumu.
 
Naona hali ni tata pande zote sitaki ku jump the gun
 
Jamani anae jua hi Falsafa (DOCTRINE) ya 'Funtus Officio' naomba atuelezea inasema je, ili tujifunze hi kesi imekua muhimu sana kwa a cademicians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…