Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Huyu jaji ni mvivu ,kila ikifika ishu ya maamuzi anaahirisha kesi ili aende kupokea maagizo toka juu
maamuzi yoyote ni lazima apate muda afanye consultation - na nani hapo akili kichwani mwako.
 
Kwani shida ni nini wewe mwenzetu? Sema hoja yako tukusikie basi
 
Anakwenda kupiga simu.
Sio Mara moja au mbili. Up
 
Correct
 
hili lishakuwa tatizo tayari, hii kesi yaonekana Jaji limemzidi uzito.
 
"Jaji: Nimefanya tathimini na uwezekano wa Kesho Asubuhi utakuwa ni mgumu, tuje Jumatatu ya tarehe 22/11/2021, Shahidi unaombwa kurudi mahakamani Washtakiwa wataendelea kuwa chini ya Magereza mpaka tarehe 22/112021 Jumatatu Saa 3 Asubuhi Nawatakia weekend njema"

Jaji anatoka!

Huyu Jaji ana uwezo wa kumudu hi kesi nayeye anaeda kupewa semina kwanza..........watafute jopo la majaji wasikilize hi kesi kwa mwezi moja itaisha tu,
 
Anenda kupokea maagizo toka mamlaka yake ya uteuzi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa uelewa wangu Court of apeal ndio wanakaa jopo la majaji watatu mpaka full bench majaji 7.
 
Kwa uelewa wangu Court of apeal ndio wanakaa jopo la majaji watatu mpaka full bench majaji 7.
Hi iwe special kesi kwani kuna sheria inalo kataza hili au kanuni itakao vunjwa jopo likikaa
 
KUMCHAFUA JAJI una maana gani? Kama mawakili wa serikali wanaleta longo longo kwa kupindisha Sheria, basi utetezi waache tu ili wasimchafue Jaji kama unavyodai?
 
Hii kesi ni ngumu kwa huyu jaji kuliko ilivyo kwa waliobambikiwa.

Atajuwa Kwanini hajui...Yani kwanini hajui ni sababu gani kiuhalisia, iliyomfanya jaji mkuu kiongozi Kiyani, kuidondosha kama kiazi cha moto?
 
jopo la majaji hadi mahakama ya rufaa, hii kesi ni yeye tu anai-complicate - angekuwa ashaimaliza muda tu.
 
Wameshasoma mchezo ushahidi wote ukipokelewa dikiteta hachomoki,dawa ni kuweka pingamizi ushahidi ukipokelewa.

Kwa mapingamizi haya kesi inaweza chukua mwaka mzima.
 

Kibatala is very clever...

Yaani kwa kauli hii hapa, anawatia pingu za "kutofuata taratibu za kisheria" wote, UPANDE WA MASHTAKA na MAHAKAMA KWA UJUMLA indirectly...!

Kwa lugha rahisi ni kuwa, anawaambia, "NYINYI NI WEZI WA NYARAKA ZA MAHAKAMA" ili kuzitumia kinyume cha sheria....!!!
 
Wameshasoma mchezo ushahidi wote ukipokelewa dikiteta hachomoki,dawa ni kuweka pingamizi ushahidi ukipokelewa.

Kwa mapingamizi haya kesi inaweza chukua mwaka mzima.
Sasa majaji na wao wasijichoshe, hii kesi wanatakiwa wasiwe wanaisikiliza kila siku, watuhumiwa wake siku 14 kama sheria inavyo tamka. wawe wanaletwa kila baada ya siku 14.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…