Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Imagine kwenda kuwa mlinzi wa mtu anayesemekana ana viashiria vya ugaidi! Better yet, Luteni Urio aliambiwa na ^walinzi^ hao kwamba kazi yao imebadilika kutoka kuwa ya ulinzi, na sasa ni ya kwenda kumla mtu kichwa huko Moshi...
Utumbo tupu , kwahyo hata simu ya Urio iliyo chunguza na police ikaja na report kwamba hakuna viashiria vya uhalifu unaipindisha?

Kweli ww zezeta
 

Evidently, FM alikuwa ana-avoid simu ili kuficha ushahidi wa baadaye mambo yakisaganuka! Alikuwa anataka kila apitapo asiache hata chembe ya unyayo.

Ukifuatilia namna ya mawasiliano yake na Luteni Urio, utagundua kwamba mara nyingi alikuwa anapendelea kutumia laini tofautitofauti za simu zisizo zake. ^Sikuweza kupokea simu zako kwa sababu ya (...) (...) (...). Nadhani unanielewa?^

UJIRA? Nani anajua walichozungumza na kupeana face-to-face na hao ^vijana wa kazi^ hadi wao wenyewe wakaridhia kwenda kutekeleza misheni chafu kule Moshi?

Kama Luteni mwenyewe aliahidiwa ^cheo kikubwa,^ hatujui wao walipewa kitita cha shilingi ngapi!
 
Kazi ya halali kwenda kulipua vituo vya mafuta,kuchoma masoko,kukata miti?

Hivi mnasoma lakini hayo yaliyoandikwa hapo juu?au mnakurupuka tu kukoment?

Ebu Soma kwanza kilichoandikwa usikurupuke.

Mbowe kafanya mawasiliano kibao na kamanda urio na huyo huyo ndo kaenda kumchoma.

Wewe Mjingawewe Acha kulazimisha dhamira yako Ndiyo iwe sheria.

Sheria gani inawazuia wanajeshi waliostaafu/kufukuzwa wasitafute kazi nyingine yoyote iliyo halali....
 
Umejiuliza mbowe aliki anamtumia kamanda urio hela za kazi gani?
Wewe Mjingawewe Acha kulazimisha dhamira yako Ndiyo iwe sheria.

Sheria gani inawazuia wanajeshi waliostaafu/kufukuzwa wasitafute kazi nyingine yoyote iliyo halali...
 
Kesi ya mchongo wa kitoto kabisa sijapata kuona! Afiche ushahidi gani na wakati alimtumia pesa? Tena kuna wakati kwa kutumia namba yake kabisa?

Na hata kama ni mazungumzo ya kutafuta walinzi, bado Mbowe alihitaji kuwa “discreet”, kwasababu mawasiliano yao si kawaida kabisa kudukuliwa? Wanadukuliwa kina Makamba, Nape na Kinana ndo iwe Mbowe? Tumia akili.

Walichozungumza face to face wapi mkuu? Yani Mbowe aletewe watu ambao Urio anawaamini, halafu aendelee kuwatumia na kuwasiliana nao huku akimtenga Urio? Hivi wewe unamuamini huyo kiazi kabisa?
 
Sasa uhuni wa urio ni upi?
Kumtafutia mbowe vijana?
Au kumchoma mbowe?
Mbona tangu mwanzo wa hii kesi nilisema mbowe alibugi kufanya mipango na watu wa jeshi.
Shida mnaendeshwa na ushabiki wa vyama.
hao watu Wana viapo.

Kama Urio anachosema Ni kweli basi kuna shida sehemu. Huwezi kujihusisha na mwanajeshi Kama wewe ni kiongozi wa upinzani. Hili liwe somo kwa upinzani na Viongozi wote stick on your own don't involve state agencies. Mbowe Kama aliwasiliana kwa njia yeyote na Urio kuhusu mpango wowote basi alibugi Sana. Kwanini asingetumia red brigde au vijana was chama.
 
Hakuna ushahidi wa sms hata moja unataka hayo maneno ya kwamba walichat hivyo hizo ni story za urio
Hata aliyoyaongea na kina Mohamed baada ya kufika Moshi hayajathibitishwa na kitu chochote zaidi ya kauli zake
 
Tujiulize kwanza mbowe alikuwa anakutana na urio kwa ajili ya nini?
alikuwa anampigia simu kwa ajili ya nini ?
Alimtumia hela kamanda urio kwa ajili ya nini?
 
Umeongea point.
Ila Mimi na wewe hatujui Kama NI kweli au si kweli.
Swali linakuja mbowe alimtafuta urio kwa ajili ya nini?
Hakuna ushahidi wa sms hata moja unataka hayo maneno ya kwamba walichat hivyo hizo ni story za urio
Hata aliyoyaongea na kina Mohamed baada ya kufika Moshi hayajathibitishwa na kitu chochote zaidi ya kauli zake
 
Hao watu wengine Mbowe angeenda kuwatoa kuzimu na wangekuwa wanafanyia mipango yao Jupita ambako polisi na usalama wa taifa hawafiki?
 
Basi mbowe hakuwa na AKILI.maana hakujua kuwa polisi kila sehemu wapo.
Imekula kwake
Hao watu wengine Mbowe angeenda kuwatoa kuzimu na wangekuwa wanafanyia mipango yao Jupita ambako polisi na usalama wa taifa hawafiki?
 
Umeongea point.
Ila Mimi na wewe hatujui Kama NI kweli au si kweli.
Swali linakuja mbowe alimtafuta urio kwa ajili ya nini?
Hii kesi ni ya Urio na Mbowe
Muhimu watuondelee makomandoo wetu mahabusu maana wamewatesa bila sababu yeyote.
Urio damu za colleagues wake itamuandama daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…