Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Utumbo tupu , kwahyo hata simu ya Urio iliyo chunguza na police ikaja na report kwamba hakuna viashiria vya uhalifu unaipindisha?Imagine kwenda kuwa mlinzi wa mtu anayesemekana ana viashiria vya ugaidi! Better yet, Luteni Urio aliambiwa na ^walinzi^ hao kwamba kazi yao imebadilika kutoka kuwa ya ulinzi, na sasa ni ya kwenda kumla mtu kichwa huko Moshi...
Kweli ww zezeta