Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Tatizo sio ugaidi TATIZO hyo mipango ya ugaidi.
Kitendo Cha mbowe kushirikiana na LUTENI urio tayari kimeshamtia hatiani.ndo maana mtu wa kwanza kumsaliti mbowe ndo huyo kamanda urio.hao sio watu wa kuwaamini.
Mtaamka lini?
hyo kesi wenzenu wanajua mwanzo wake mpaka mwisho wake maana wameshajipanga.
Wewe kweli mjinga
 
Hao watu wengine Mbowe angeenda kuwatoa kuzimu na wangekuwa wanafanyia mipango yao Jupita ambako polisi na usalama wa taifa hawafiki?
Halafu wana weka mitego ya ki.... Seee ati askari.
 
Umeongea point.
Ila Mimi na wewe hatujui Kama NI kweli au si kweli.
Swali linakuja mbowe alimtafuta urio kwa ajili ya nini?
Stupid, Police wameshindwa thibitisha ww uthibitishe? Weka ushahid mezani

Bure kabisa
 
Kwa jinsi kesi inavoendelea sisi watu wa nje tutakua tunatoa maoni yetu lakin ukwel wa mambo anajua mbowe na uyo urio na serikali sion haja ya sisi kufungamana na upande wowote. Ni ngum kujua Ukweli
 
na hizo hela mbowe alizokuwa anamtumia kamanda urio zilikuwa mahari ya mama yako aolewe?
Zilikua za kukuoa wewe

Wewe hutumag pesa? Basi tukukamate kwasababu unatuma pesa

Ukiwa CCM na uwezo wa kufikiri unakufa

Kwamba unatuma 500000 unatoa 499000?? Kwamba Gharama ya kutoa lak 5 n buku?? Mnatuona sie mafala sio??
 
Kwa jinsi kesi inavoendelea sisi watu wa nje tutakua tunatoa maoni yetu lakin ukwel wa mambo anajua mbowe na uyo urio na serikali sion haja ya sisi kufungamana na upande wowote. Ni ngum kujua Ukweli
Wewe kama uwezo wa kufikiri n mdogo hilo n jambo lako binafsi
 
Hata hawa watatu alionao hapo na wako wote mahabusu
soma hapa
Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?

Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia, nilimwambia Mtafanya kazi Iliyowapeleka, Lakini mkiona chochote ambacho cha uhalifu mtaniambia, Mohammed Ling'wenya Kwa Maneno yake aliniambia ASKARI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA ASKARI. Nikawaambia Chochote Kitakachotokea Wataniambia, Baada ya Hapo, Nilimpigia Freeman Mbowe akanitumia Laki Moja na Tisini na Tano, Kwa ajili ya nauli yao Kutoka Morogoro Kwenda Dar es Salaam..
Kama walikuwa wanatoa taarifa za uhalifu kwa Urio kwa nini wameunganishwa na FAM kwenye kosa hilo na wameshtakiwa. Au ni mashahidi wa Jamhuri waliopo mahabusu na bado wanafuatilia yanayojiri mahabusu?
 
Mnajua nyie wafuasi wa mbowe uwa mnashindwa kutumia AKILI.
Kuna maswali madogo tu ambayo mnaweza kujiuliza mkapata majibu au mwanga wa kesi ya mbowe.
Swali la kwanza mwenyekiti alikuwa anakutana na urio?
kwa ajili ya nini?
Ni kweli alikuwa anamtumia kamanda urio hela?
Je wanajuana?
Stupid, Police wameshindwa thibitisha ww uthibitishe? Weka ushahid mezani

Bure kabisa
 
Reallocation is equivalent to poor planning! Hivi viraka viraka katika hii case japo mi si mwanasheria, naona kabisa ina viashiria vingi vya uongo! Haikupangwa vizuri, na inaanika uonevu wa Serikali dhidi ya watu wake. Njia inayotumika ni ya kuzimu, kufanikisha ukweli usiyokuwa wa kweli.

Eee Mungu simama na waja wako. Haiwezekani hata mara moja Mwanajeshi akashirikiana na Askari Polisi kutafuta watu wa kufanikisha Ugaidi na kuifanya nchi isitawalike. Alafu akawaacha hao watu wa kufanya Ugaidi bila uangalizi wowote, na kumonitor kwa kutumia simu tu. Haiji akilini! Kwamba Serikali iliamua kutengeneza watu wa kufanya Ugaidi na Gaidi Mkuu kwa Maslahi ya nani Sasa!!!!


Sterling kauawa Kabla ya Pigo la Mwisho! Shida ni kwamba hata Trailer tu iliharibu mambo tangu kwa Mama wa Glocery na Mlima mbogamboga na wale wa PGO! Nia ya Serikali ingeishia hapo hapo, lkn kama ni kumtia mtu hatiani kwa kesi hiyo, itakuwa ni nguvu tu ya Serikali na siyo utekelezaji wa Sheria.

Mtunzi kafeli kuimalizia vizuri, japo naamini Moses Lijenje nae atakuja kutoa ushahidi namna alivyoamua kujiondoa kwenye mpango wa Ugaidi baada ya kugundua nia ovu ya Mbowe! Maana hisia zinaniambia kuwa mko nae anafundishwa Cha kuja kusema. Ni suala la muda tu, Mungu atasimama na mwenye haki.
 
Hao si walienda Moshi kutekeleza mipango na mmoja akmpigia Snitch urio kwamba madogo wamekamatwa?
Hivi mnasoma lakini kilichoandikwa?
Hii kesi ni ya Urio na Mbowe
Muhimu watuondelee makomandoo wetu mahabusu maana wamewatesa bila sababu yeyote.
Urio damu za colleagues wake itamuandama daima
 
zile hela sio za ugaidi zilikuwa mahari ya mama yako.
Zilikua za kukuoa wewe

Wewe hutumag pesa? Basi tukukamate kwasababu unatuma pesa

Ukiwa CCM na uwezo wa kufikiri unakufa

Kwamba unatuma 500000 unatoa 499000?? Kwamba Gharama ya kutoa lak 5 n buku?? Mnatuona sie mafala sio??
 
Kama walikuwa wanatoa taarifa za uhalifu kwa Urio kwa nini wameunganishwa na FAM kwenye kosa hilo na wameshtakiwa. Au ni mashahidi wa Jamhuri waliopo mahabusu na bado wanafuatilia yanayojiri mahabusu?

Kwa jinsi urio anavyotoa maelezo ni dhahili kabisa hii kesi imepikwa na urio ni shahidi wa mchongo….jwtz wana kitengo chao cha interenjia,kwann urio hakwenda kutoa taarifa huko au kwa viongozi wake ili hao viongozi wake wawasiliane na polisi!?

Angekua mwalimu ningesema sawa,lakini comandoo wa jwtz unapata taarifa kama hizo unakimbia kutoa taarifa polisi bila kuwajurisha viongozi wako huo ni uongo kabisa.

Alipata wapi namba ya dci boaz!?walikua wanajua kabla!?
 
DCI unajua kazi na mipaka yake?


Lazima alimwamini kwa mambo mengi aliyotaja Luteni Urio. Ndiyo maana amepewa nickname ya ^HOMEBOY^ Unajua maana yake?


Natamani kusikia akiulizwa hili kesho. Katika huo udalali yeye amelipwa kiasi gani? But, tayari tumeshajua kwamba aliahidiwa ^cheo cha juu.^ That's good enough to begin with!


Because nadhani waliona si salama sana kuwaweka officials wao wa usalama karibu na mtu mwenye nia husika za ugaidi alizozianisha Luteni Urio.

Pili, pengine kwa FM kudai kwamba nitafutie watu wastaafu na waliofukuzwa jeshi, labda tayari alikuwa na majina. Alichotaka tu jinsi ya kuwafikia--kukonekti nao.


Who knows? Labda ndicho kimesaidia hadi leo hii aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai yuko hai hadi leo. Labda bila hivyo (ushirikiano na mawasiliano ya karibu), angeshaliwa kichwa na wahuni.



Shahidi: Sijui 🙂

Shahidi: Sijui 🙂


Shahidi: Sijui :"

Matukio huwa yanatend kufunguka kadiri muda unavyokwenda! Time always tells the whole truth!
Wewe ni Jumbe Brown aliyepooza.
 
Sasa uhuni wa urio ni upi?
Kumtafutia mbowe vijana?
Au kumchoma mbowe?
Mbona tangu mwanzo wa hii kesi nilisema mbowe alibugi kufanya mipango na watu wa jeshi.
Shida mnaendeshwa na ushabiki wa vyama.
hao watu Wana viapo.

Kiapo bongo, watu wanaaapa wameshika biblia/quran na bado wanaingia mikataba ya kihuni, ndio itakuwa hao majobless?
 
Kwisha KABISA.
Mpaka siku mkija kupata akili mwenyekiti kala mvua.
Unamtumia hela kamanda ili iweje?
Unafanya nae mawasiliano ili iweje?
Unamtumia akutafutie vijana ili iweje?
Sasa mwenzie kamchoma
Ni public sector
 
Sasa mbowe NI private sector?
Argue basi kama mtu mwenye elimu kidogo!Je,ni mtu kuwa na walinzi binafsi?Je,ni kosa walinzi hao kuwa wanajeshi waliostaafu au Kufukuzwa?
Kama ni kosa sawa,kama si kosa basi ni kazi ya upande wa mashtaka kuonesha Kwa ushahidi usio na shaka kuwa walipewa kazi tofauti na ulinzi!
 
Mnajua nyie wafuasi wa mbowe uwa mnashindwa kutumia AKILI.
Kuna maswali madogo tu ambayo mnaweza kujiuliza mkapata majibu au mwanga wa kesi ya mbowe.
Swali la kwanza mwenyekiti alikuwa anakutana na urio?
kwa ajili ya nini?
Ni kweli alikuwa anamtumia kamanda urio hela?
Je wanajuana?
Wewe hukutan na watu? Unakutana nao kwaajili ya nn??

Ujinga mtupu, au huko CCM kukutana na watu ni dhambi? Kwamba n marufuku mtu kukutana na mtu mwingine??
 
Back
Top Bottom