babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Wewe kweli mjingaTatizo sio ugaidi TATIZO hyo mipango ya ugaidi.
Kitendo Cha mbowe kushirikiana na LUTENI urio tayari kimeshamtia hatiani.ndo maana mtu wa kwanza kumsaliti mbowe ndo huyo kamanda urio.hao sio watu wa kuwaamini.
Mtaamka lini?
hyo kesi wenzenu wanajua mwanzo wake mpaka mwisho wake maana wameshajipanga.
Halafu wana weka mitego ya ki.... Seee ati askari.Hao watu wengine Mbowe angeenda kuwatoa kuzimu na wangekuwa wanafanyia mipango yao Jupita ambako polisi na usalama wa taifa hawafiki?
Hebu tuambie Huo mtego huwekwaje?Ni kama vile unavyowekewa mtego wa rushwa ili mtandao mzima upatikane!
Stupid, Police wameshindwa thibitisha ww uthibitishe? Weka ushahid mezaniUmeongea point.
Ila Mimi na wewe hatujui Kama NI kweli au si kweli.
Swali linakuja mbowe alimtafuta urio kwa ajili ya nini?
Zilikua za kukuoa wewena hizo hela mbowe alizokuwa anamtumia kamanda urio zilikuwa mahari ya mama yako aolewe?
Wewe kama uwezo wa kufikiri n mdogo hilo n jambo lako binafsiKwa jinsi kesi inavoendelea sisi watu wa nje tutakua tunatoa maoni yetu lakin ukwel wa mambo anajua mbowe na uyo urio na serikali sion haja ya sisi kufungamana na upande wowote. Ni ngum kujua Ukweli
Kama walikuwa wanatoa taarifa za uhalifu kwa Urio kwa nini wameunganishwa na FAM kwenye kosa hilo na wameshtakiwa. Au ni mashahidi wa Jamhuri waliopo mahabusu na bado wanafuatilia yanayojiri mahabusu?Hata hawa watatu alionao hapo na wako wote mahabusu
soma hapa
Wakili wa Serikali: Baada ya Kusema Wapo tayari?
Shahidi: Laki Moja na tisini na Tisa Iliyobakia, nilimwambia Mtafanya kazi Iliyowapeleka, Lakini mkiona chochote ambacho cha uhalifu mtaniambia, Mohammed Ling'wenya Kwa Maneno yake aliniambia ASKARI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA ASKARI. Nikawaambia Chochote Kitakachotokea Wataniambia, Baada ya Hapo, Nilimpigia Freeman Mbowe akanitumia Laki Moja na Tisini na Tano, Kwa ajili ya nauli yao Kutoka Morogoro Kwenda Dar es Salaam..
Stupid, Police wameshindwa thibitisha ww uthibitishe? Weka ushahid mezani
Bure kabisa
Ni public sectorSasa mbowe NI private sector?
Wewe kweli mjinga
Hii kesi ni ya Urio na Mbowe
Muhimu watuondelee makomandoo wetu mahabusu maana wamewatesa bila sababu yeyote.
Urio damu za colleagues wake itamuandama daima
Zilikua za kukuoa wewe
Wewe hutumag pesa? Basi tukukamate kwasababu unatuma pesa
Ukiwa CCM na uwezo wa kufikiri unakufa
Kwamba unatuma 500000 unatoa 499000?? Kwamba Gharama ya kutoa lak 5 n buku?? Mnatuona sie mafala sio??
Kama walikuwa wanatoa taarifa za uhalifu kwa Urio kwa nini wameunganishwa na FAM kwenye kosa hilo na wameshtakiwa. Au ni mashahidi wa Jamhuri waliopo mahabusu na bado wanafuatilia yanayojiri mahabusu?
Wewe ni Jumbe Brown aliyepooza.DCI unajua kazi na mipaka yake?
Lazima alimwamini kwa mambo mengi aliyotaja Luteni Urio. Ndiyo maana amepewa nickname ya ^HOMEBOY^ Unajua maana yake?
Natamani kusikia akiulizwa hili kesho. Katika huo udalali yeye amelipwa kiasi gani? But, tayari tumeshajua kwamba aliahidiwa ^cheo cha juu.^ That's good enough to begin with!
Because nadhani waliona si salama sana kuwaweka officials wao wa usalama karibu na mtu mwenye nia husika za ugaidi alizozianisha Luteni Urio.
Pili, pengine kwa FM kudai kwamba nitafutie watu wastaafu na waliofukuzwa jeshi, labda tayari alikuwa na majina. Alichotaka tu jinsi ya kuwafikia--kukonekti nao.
Who knows? Labda ndicho kimesaidia hadi leo hii aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai yuko hai hadi leo. Labda bila hivyo (ushirikiano na mawasiliano ya karibu), angeshaliwa kichwa na wahuni.
Shahidi: Sijui 🙂
Shahidi: Sijui 🙂
Shahidi: Sijui :"
Matukio huwa yanatend kufunguka kadiri muda unavyokwenda! Time always tells the whole truth!
Sasa uhuni wa urio ni upi?
Kumtafutia mbowe vijana?
Au kumchoma mbowe?
Mbona tangu mwanzo wa hii kesi nilisema mbowe alibugi kufanya mipango na watu wa jeshi.
Shida mnaendeshwa na ushabiki wa vyama.
hao watu Wana viapo.
Ni public sector
Argue basi kama mtu mwenye elimu kidogo!Je,ni mtu kuwa na walinzi binafsi?Je,ni kosa walinzi hao kuwa wanajeshi waliostaafu au Kufukuzwa?Sasa mbowe NI private sector?
Wewe hukutan na watu? Unakutana nao kwaajili ya nn??Mnajua nyie wafuasi wa mbowe uwa mnashindwa kutumia AKILI.
Kuna maswali madogo tu ambayo mnaweza kujiuliza mkapata majibu au mwanga wa kesi ya mbowe.
Swali la kwanza mwenyekiti alikuwa anakutana na urio?
kwa ajili ya nini?
Ni kweli alikuwa anamtumia kamanda urio hela?
Je wanajuana?