Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

ishia hapo hapo.
Ila huo ndo ukweli.
Unatafuta nini na wanajeshi Kama sio kukuchoma?
najua hauwezi kuyajua haya Mambo uenda bado mtoto mdogo.
Nikuulize swali dogo kwanini mtu wa kwanza kumchoma mbowe ni kamanda urio?
Huku Quantico, FBI academy hii tunaita, STING OPERATION gone well[emoji2371]
 
Kwani MAELEZO ya kamanda urio anasema mbowe alitaka walinzi binafsi au vijana wakulipua vituo vya mafuta n.k?
Ndio kazi ya mahakama kubaini kama kweli Mbowe aliwahitaji hao akina Adamoo Kwa ajili ya kufanya uhalifu au la!
So tumekubaliana kuwa mtu kuwa na walinzi binafsi sio kosa hata kama hao walinzi ni makomandoo waliofukuzwa.kosa linakuja kama Kuna njama za uhalifu!Sasa tuanzie hapo na tuendelee kufuatilia kesi hii!
 
ulitoa hukumu wewe kuwa waliteswa?
Sizungumzii hukumu hapa na mpaka sasa hakuna hukumu iliyotoka!Hukumu hutoka mwisho wa kesi!
Kitendo tu Cha akina Adamoo kuwakana Jamhuri na ushahidi wao,kimekuprove wrong!
 
Kwa hyo ulitegemea kamanda urio angemtetea mbowe?
Mbona urio anasema yeye ndo kampigia simu DCI boaz?
Sijasema atamtetea Mbowe,huyo ni shahidi wa upande wa mashtaka!Ndio ushahidi wake utapimwa!Ni maneno yake dhidi ya Mbowe na hao akina Adamoo!
Akina Adamoo nao watapata nafasi ya kusikilizwa!
 
Jeshi halisjughuliki na uhalifu,, law enforcement ni kazi ya polisi
 
Wewe malaya siku utakayojitambua ndiyo siku utaanza kuona mafanikio yako Mungu aliyokupangia. Haikusaidii chochote wewe na familia yako kuja hapa kupotosha hata kile kinachoonekana. Wakati mwingine tunajitafutia laana na mikosi kwa vijisenti vidogo tu. Tubu na jirekebishe la sivyo utaendelea kusota Maisha yako yote
 
Kesi itabakia kwa mbowe tu hao tayari wanatolewa kwenye mashtaka kwani walitumiwa tu, tena serikali yaani agande Boaz, Afande kigai na afande swila na ukiangalia hii kesi IPO kwa huyu shahidi komandoo Urio

Any way ngoja tuone kesho mambo yataendaje,,,sababu desh desh desh so inajua....
 
Hii kitu hata enzi za akina mohamed Tamimu kutaka kupindua nchi,, mpango ulifahamika miezi kadhaa kabla, na group likawa inflitrated,,
Normal procedure jomba...
 
Shida NI huyo kamanda urio.
Maana bila yeye kumpigia simu DCI boaz haya yasingetokea.
Kwa hyo kamanda urio ndo anajua ukweli
Pili hauwezi kutafuta walinzi wanajeshi ikizingatiwa wewe NI kiongozi wa upinzani.hao Wana viapo vyao vya UTII .
Hao sio watu wa kufanya nao urafiki
 
Stering wa mchezo huu NI kamanda urio.huyo adamoo sio kitu chochote.
Urio ndo atakeyewatia hatiani.
Sizungumzii hukumu hapa na mpaka sasa hakuna hukumu iliyotoka!Hukumu hutoka mwisho wa kesi!
Kitendo tu Cha akina Adamoo kuwakana Jamhuri na ushahidi wao,kimekuprove wrong!
 
Alikuja kusema badae kua FM alimtumia message Telegram kumwambia kwanini hapokei simu yake
 
Tujiulize kwanza mbowe alikuwa anakutana na urio kwa ajili ya nini?
alikuwa anampigia simu kwa ajili ya nini ?
Alimtumia hela kamanda urio kwa ajili ya nini?
Tukifanya reconstruction, kama hii ishu mi kweli, inaonekana chairman alikua ameathirika na kuvunjiwa bilicana, kuharibiwa shamba lake na nasikia biashara ziliharibika,,
We can find a motive here[emoji134][emoji134]
 
Ulishajiuliza kwanini kamanda urio awe shahidi wa jamhuri wakati yeye ndie aliyekuwa akipanga mipango na mbowe ?mpaka akawa anatumiwa hela?
Sijasema atamtetea Mbowe,huyo ni shahidi wa upande wa mashtaka!Ndio ushahidi wake utapimwa!Ni maneno yake dhidi ya Mbowe na hao akina Adamoo!
Akina Adamoo nao watapata nafasi ya kusikilizwa!
 
Unarudi kulekule,ndio hapo kwenye doubt!Urio alikuwa active soldier!Inawezekanaje Mbowe amwambie amtafutie watu wa kutenda uhalifu?Wewe Huoni Kuna dosari hapo?It's either Mbowe ni Mjinga au Urio anasema uongo na kwamba aliambiwa amtafutie walinzi!
Pili,yaani Mbowe baada ya kuwapata hao wahalifu(tuassume alitaka kutafutiwa watu wa kutenda uhalifu),iweje akate mawasiliano na Urio?Mimi nilitegemea Mbowe angemuhonga Urio Ili akae kimya eti badala yake anakata mawasiliano na mtu anayejua mipango yake ya kuchoma vituo vya mafuta?Inazingua akilini?

Nashawishika kuamini ushahidi huu wa Urio ni wa kuchongwa!Mbowe asingeweza kumwambia active soldier ambaye hamjui vizuri kuhusu mipango yake ya kuvuruga amani ya nchi!
 
Ulishajiuliza kwanini kamanda urio awe shahidi wa jamhuri wakati yeye ndie aliyekuwa akipanga mipango na mbowe ?mpaka akawa anatumiwa hela?
Simple tu,hukusikia awali kwenye kesi ndogo akina Adamoo wakisema walimuona Urio akiteswa?Kumbuka hii ni kabla ya ushahidi huu wa Urio!
Kesi hii ulifuatilia Toka mwanzo na hukukosa hata siku Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…