Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Kiunganishi ni bwire,, akikiri tu kosa imekula kwa mr chairman
Kukiri kosa pia kuna sheria zake. What if anayekiri kosa kahongwa ili kuwaangusha wenzake kama mtego?

Sheria ina pande mbili. Mazingira hayaoneshi huo Ugaidi.

Akikiri Kosa atalazimika kuithibitishia Mahakama namna gani alitaka kuhusika kwenye Ugaidi Jambo ambalo Jamhuri wameshindwa kulifanya.

Hakuna kesi hapa.
 
Hahahaa yaani hao makomando kabla ya kukutana na Mbowe na kupanga wanachotaka kufanya tayari ni magaidi🤣🤣🤣
 
Amekiri kuwa akina Adamoo walikamatwa wakiwa wameenda kuripoti kazi ya Ulinzi.
 
Kwamba inawezekana aliwaambia ukweli kua wanaenda kufanya ugaidi?
 
Halafu hao walinzi wanasema "tumekengeuka".!
 
shida mmeshikiwa akili na mwenyekiti.na mbaya zaidi mnamuona mwenyekiti wenu NI malaika hakosei.
Yeye ndo kaanza kumtafuta urio,mpaka meseji za sikukuuu alikuwa anamtumia,akaanza kumwambia amtafutie vijana ,akamapa mpaka mipango yake.
Sasa unabishana na urio ambaye alikuwa na mbowe wakipanga mipango?
 
[emoji16][emoji16][emoji16].hata angetumiwa sh 100.
Swali ni za nini?
yaani hapo imekula kwa mwenyekiti sioni utetezi wa maana mnaoweza kumtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…