Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Kiunganishi ni bwire,, akikiri tu kosa imekula kwa mr chairman
Kukiri kosa pia kuna sheria zake. What if anayekiri kosa kahongwa ili kuwaangusha wenzake kama mtego?

Sheria ina pande mbili. Mazingira hayaoneshi huo Ugaidi.

Akikiri Kosa atalazimika kuithibitishia Mahakama namna gani alitaka kuhusika kwenye Ugaidi Jambo ambalo Jamhuri wameshindwa kulifanya.

Hakuna kesi hapa.
 
Kwamba urio alikutana na mbowe,

Mbowe kamuomba urio amtafutie wanajesh wastaafu wa kufanya vurugu inchi isitawalike,

Urio kaenda kuwadanganya makomandoo kwamba kuna kesi ya ulinzi akishirikiana na Boaz na Kingai,

Makomandoo wanaingia kwenye mtego wakijua wanaenda kufanya kazi ya ulinzi,

Then wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kukusudia.kufanya ugaidi?

Hii inchi wote tunafanywa mazuzu
Hahahaa yaani hao makomando kabla ya kukutana na Mbowe na kupanga wanachotaka kufanya tayari ni magaidi🤣🤣🤣
 
Mimi sijaelewa kabisa huo muunganiko asee. Wale mashahidi wengine wote walikana kabisa kukuta mawasiliano sala viashiria vya ugaidi kwa washtakiwa, huyu aliyetegemewa nae leo ndo anasema aliwaambia wanaenda kufanya kazi ya ulinzi anaulizwa sasa kwanini uliwadanganya wanaenda kufanya kazi ya ulinzi eti jibu ni ili mission ifanikiwe! So mission ni kumkamatisha mbowe tu
Amekiri kuwa akina Adamoo walikamatwa wakiwa wameenda kuripoti kazi ya Ulinzi.
 
Kwamba inawezekana aliwaambia ukweli kua wanaenda kufanya ugaidi?
 
Kwamba urio alikutana na mbowe,

Mbowe kamuomba urio amtafutie wanajesh wastaafu wa kufanya vurugu inchi isitawalike,

Urio kaenda kuwadanganya makomandoo kwamba kuna kesi ya ulinzi akishirikiana na Boaz na Kingai,

Makomandoo wanaingia kwenye mtego wakijua wanaenda kufanya kazi ya ulinzi,

Then wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kukusudia.kufanya ugaidi?

Hii inchi wote tunafanywa mazuzu
Halafu hao walinzi wanasema "tumekengeuka".!
 
shida mmeshikiwa akili na mwenyekiti.na mbaya zaidi mnamuona mwenyekiti wenu NI malaika hakosei.
Yeye ndo kaanza kumtafuta urio,mpaka meseji za sikukuuu alikuwa anamtumia,akaanza kumwambia amtafutie vijana ,akamapa mpaka mipango yake.
Sasa unabishana na urio ambaye alikuwa na mbowe wakipanga mipango?
Unatuuliza sisi wakati ww ndio umetumwa huku mitandaoni kuja kupotosha? Hujui lolote wala mwenendo mzima wa hiyo kesi ya kihuni, bali huu utoto wa leo wa Urio ndio umeona wa kukutoa. Ww baki unapima upepo lakini hadi sasa tunaona ushahidi wa kipuuzi ukiendelea huko mahakamani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16].hata angetumiwa sh 100.
Swali ni za nini?
yaani hapo imekula kwa mwenyekiti sioni utetezi wa maana mnaoweza kumtetea.
Anajificha kwa Urio mtu mwenye nyota 2?!. Mbowe alishapata walinzi binafsi aliowataka, huo muda wa kupigwa mizinga na wanajeshi wenye njaa kali hakuwa nao. Isitoshe chini ya milioni moja kuna kipi cha kuficha hata akituma kwa wakala? Ukitazama hata hela aliyotumiwa huyo Urio ni hela ya mtu mwenye njaa kali. Ingekuwa ni bilioni mbili wangalau tungesema ni hela ya maana.

Mbowe hakutaka mawasiliano tena na Urio maana aliona ni wale wasumbufu wa hela za kuganga njaa. Subiri siku ukipata hela halafu jamaa yako mliyekulia huko kijijini awe anakupigia simu za mara kwa mara kukuomba heka ya kula, kisa amukusaidia kununua shamba huko bush uone hata kama utakuwa na huo muda mchafu wa kuwasiliana naye.
 
Back
Top Bottom