Kukiri kosa pia kuna sheria zake. What if anayekiri kosa kahongwa ili kuwaangusha wenzake kama mtego?Kiunganishi ni bwire,, akikiri tu kosa imekula kwa mr chairman
Sheria ina pande mbili. Mazingira hayaoneshi huo Ugaidi.
Akikiri Kosa atalazimika kuithibitishia Mahakama namna gani alitaka kuhusika kwenye Ugaidi Jambo ambalo Jamhuri wameshindwa kulifanya.
Hakuna kesi hapa.