comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwa bei ya chumba 12000?Hivi hizi hotel kwanini hazinaga CCTV, nafikiri ingetungwa sheria ya kuwalazimisha wafunge cctv.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bei ya chumba 12000?Hivi hizi hotel kwanini hazinaga CCTV, nafikiri ingetungwa sheria ya kuwalazimisha wafunge cctv.
Ndio hapo yaani ni uwongo wakijinga kabisa upange ugaidi na Luteni nyota mbili jamani?,alafu kumbukeni Mboe alikuwa na kaka yake ambae ni Meja General asimtumie amtumie huyu MbugilaYaan mbowe achukue mtu ambaye hamjui vizuri tena luteni jeshini aongee nae Jambo zito kama ili ,kwel wote tuseme mbowe bogus,mwenye akili atajua mchele na pumba
Nadhani Kibatala et Al wamejitayarisha kwa ujio wake. They will never miss the point with him! God bless MboweDenis Urio ni Shahidi Muhimu sana
Siuseme tu mke mwenza lilian mteiAtakuja na mkewe Llian Mtei
What is a tactical appreciation?Nadhani Kibatala et Al wamejitayarisha kwa ujio wake. They will never miss the point with him! God bless Mbowe
Nadhani Kibatala et Al wamejitayarisha kwa ujio wake. They will never miss the point with him! God bless Mbowe
Hata vibarua wa mtaani wanaifanyaHuu upuuzi kila shahidi anayekuja anauzungumzia halafu hakuna evidence yoyote.
"Watu wa kukata miti pembezoni mwa barabara ya Mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha, Mwanza, Kilimanjaro hasa Mji wa Moshi na Barabara Kuu ya Morogoro - Iringa,kuchoma vituo vya mafuta mijini na masokoni na kwenye mikusanyiko ya watu na kudhuru viongozi wa serikali."
Watu wa kufanya Hii kazi mbona ni zaidi 1,000 huyu afisa ndio aitwe na Mbowe kufanikisha hawa watu?halafu mbona kazi yenyewe haihitaji makomandoo sasa?kukata miti?Hii kazi mbona hata Red Brigade wangeweza kama kweli ndio ilikuwa lengo.
Hapa anasema hakuambiwa hata idadi,mtu aliyepanga kufanya nchi isitawalike hajui anahitaji wanajeshi wangapi?
Wakili wa Serikali: Sasa Shahidi Tuambie, yeye alikwambia anataka Wangapi
Shahidi: Hakuna Kikomo cha Watu, Ni wale Watakaopatikana.
Nasubiri maswali ya Kibatala aisee
... umeandika wewe au ume-google?TACTICAL APPRECIATION- An estimate or appreciation of a situation is the military term defined as a 'logical process of reasoning by which a commander considers all the circumstances affecting the military situation and arrives at a decision as to the course of action to be taken in order to accomplish his mission'
Ni kazi ya kipuuzi mno haihitaji MakomandooHata vibarua wa mtaani wanaifanya
umejuaje maana tunataka kesi iishe afungwe tumechoka na bangi zakeSiuseme tu mke mwenza lilian mtei
usiangalie rangi ya paka wewe shukuru panya wamefurushwa... umeandika wewe au ume-google?
You're so funny, unajua! Unakubali ushahidi wa Luteni Urio kwamba ni kweli Mbowe alimwomba amtafutie bodyguards, at the same time unakataa sehemu iliyosalia ya ushahidi wake kwamba alikuwa anafanya plans za kuzua taharuki na vurugu kwenye nchi?
Ni kweli hata ikithibitika kuwepo kwa nia ya kutenda inatosha,Kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na ugaidi ya 2002- nia tu inatosha kuweka hatiani kwa ugaidi
nadhani hana kizibiti chochote huyu jamaaHakuna mahakama yoyote duniani inayoweza kuchukua maneno kama haya ya Urio kama yalivyo ukawa ushahidi iliojitosheleza maana,
1. Mpaka sasa maneno yake hayana muanganiko wa karibu na ushahidi wa wengine
2. Labda baadaye watuletee sauti za mazungumzo au utoshelevu mwingine juu ya ushahidi huu.
Hapana. Kesi yoyote ya jinai ni lazima kuwe na ushahidi mzito "to prove beyond reasonable doubt"Kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na ugaidi ya 2002- nia tu inatosha kuweka hatiani kwa ugaidi
Kwa sisi tuliopo kwenye hii field ya sheria hadi sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kumtia Mbowe hatiani labda kama kuna ushahidi mwingine heavier than this one at hand.Kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na ugaidi ya 2002- nia tu inatosha kuweka hatiani kwa ugaidi
🤣🤣🤣,we jamaa Huwa unanichekesha unavyokomaa na hivyo vimisemo ila Huwa unaingia mitini mazima!What is a tactical appreciation?
The appreciation is essentially the process whereby operational information is collected and then used to produce outline plans. The references cover the appreciation as it relates to strategic, tactical, and administrative problems at formation level.
Kwenye Cross examination sasa;Wakili wa Serikali: Unafanya Shughuli gani
Shahidi: Ni Mwajiriwa wa Jeshi la Wananchi Tanzania
Huu sio ushahidi. Hayo ni maneno tu, kitu gani kinaweza kuthibitisha alichoongea ndo tunasubiri. Kama ushahidi upo kwa staili hii Basi rahisi sana kumsingiziana, kwamba Jaji amini tu alichosemaNdiyo mwendo wenyewe mkuu- ushahidi usio na mashaka ndio huo
Si kweli kwamba kuna kukubali ushahidi wa Urio la hasha,You're so funny, unajua! Unakubali ushahidi wa Luteni Urio kwamba ni kweli Mbowe alimwomba amtafutie bodyguards, at the same time unakataa sehemu iliyosalia ya ushahidi wake kwamba alikuwa anafanya plans za kuzua taharuki na vurugu kwenye nchi?