Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Kwa mjibu wa sheria ya kuzuia na kupambana na ugaidi ya 2002- nia tu inatosha kuweka hatiani kwa ugaidi
If you are speaking about a civil case your word against an others is 50% to 50%, you must get 51% usually by presenting some type of evidence, witness, video, letters, emails, recorded audio etc. Further the judge or jury can also look at the credibility of both parties especially in a criminal trial etc.
 
Ametia aibu sana!!! Yaani apate habari mbaya kama hizo alafu akubali kuzifanyia majaribio? Je ingetokea kweli?
 
But shahidi ametamka kwamba Mbowe hakutaka mazungumzo yao yafanyike kwa njia ya simu. Hukusoma hapo?
Hapo ndo tunasubiri video aliomrekodi au sauti alizorekodi wakati wa maongezi yao. Au hata picha kuonesha tarehe husika walikua maeneo anayosema walikutana. Hata sauti za maongeze. Hivyo ndivyo vinaweza kua supportive document za alichokizungumza, lasivyo zitakua ni porojo tu
 
Asante mheshimiwa Hakimu. Kesi imeahirishwa hadi lini?
 
Ndio hapo yaani ni uwongo wakijinga kabisa upange ugaidi na Luteni nyota mbili jamani?,alafu kumbukeni Mboe alikuwa na kaka yake ambae ni Meja General asimtumie amtumie huyu Mbugila
This is one of those poor reasoning! Ni sawa na kusema, ^Mtuhumiwa ana bastola yake binafsi, hivi kweli angeweza kumdhuru mhanga kwa kutumia silaha duni kama kisu?^

Huoni kwamba kitendo cha kutotumia silaha yake (in this case, ndugu yake), ni mbinu ya ^tactical eversion^ ili asishtukiwe?
 
Sauti alizorekodiwa wakati wanakutana zitawasilishwa.
Maana FM alikataa mazungumzo ya kwenye simu akasahau Kuna voice recorder.
Yajayo yanahuzunisha.
 

Sawa, brother mdogo wa Hero Kibatala... (waiting)
 
But shahidi ametamka kwamba Mbowe hakutaka mazungumzo yao yafanyike kwa njia ya simu. Hukusoma hapo?
Basi kama Mbowe hakutaka mazungumzo ya simu, Urio kama alivyojinasibu kuwa ni mwelevu alitakiwa kutafuta namana yoyote ya kuwa na ushahidi kwani anaonesha kuwa alikuwa na nia kwenda kumtaarifu DCI.

Litakuwa ni jambo la ajabu Sana na aibu kubwa kama DCI alipokea mashtaka haya akayafanyia kazi akiwa hana viambata toshelevu vya ushahidi.
 
Wakili wa Serikali: Kingine Kipi

Shahidi: Akitaka Kujua Msimamo Wangu dhidi ya Vyama Vya Upinzani

Wakili wa Serikali: Kwenye hilo la Msimamo Wako Majibu yako Yalikuwa ni Yepi

Shahidi: Nilimwambia Kwa Mujibu wa Kazi yangu Siruhusiwi Kufungamana na Chama Chochote.

Wakili wa serikali: ukamueleza nini?

Shahidi: Siruhusiwi Kufungamana na Chama Chochote, Ila Kwa Kiongozi aliyepo Madarakani

NB: Huyu mwenye majibu haya ndo aliambiwa mipango yote ya ugaidi na yeye ameshasema ni royal kwa serikali pekee?
 
Pengine walirusha mtego na ndoano, vikanasa. Who knows? Nadhani wengine sie tujifunze kuweka akiba ya maneno ili baadaye mambo yakianikwa hadharani kutoka huko faraghani tusije tukapoteana.
 
Hapa hatoki mtu! (Siyo kwamba nimemjibia. Hii ni aidii yangu nyingine)! 🙂
 
Aiseeeee! Amazing! Flabbergasting, even! Ushahidi wa watuhumiwa ni wa kweli, ila wa Luteni ni wa uongo! Ujiniasi wako ni wa Planet Mars!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…