Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Sure, ila sting operation sio lazima ihusishe askari kanzu. Kosa walifanya hapa kina kingai ni kuwahisha ukamataji. Kama walitaka kumsave sabaya, wangemchepusha tu, ili hao macomandoo wakamatwe red handed. ,Hapa kwenye huu uzi umevamiwa.. Ndio maana utaona kuna comments nyingi zinajirudia.. ..
Nchi yetu ina inteligensia kali sana lakini isiingizwe siasa tuu...ikiingia kila kitu kinaharibika..
ANGALIA OFISI YA CID
Yaani ofisi inapokea taarifa ya mipango ya ugaidi kisha mtoa taarifa anaambiwa we endelea tuu kuwatafuta vijana wa hiyo kazi kisha utakuwa unatutaarifu (hapa wakina Adamoo hawana hatia)
MFUMO WA INTELIGENSI
hapa ilitakiwa Boaz kama kweli kapewa taarifa ni kutafuta askari kanzu (undercover) kisha Urio anapiga simu wameshapatikana.. Then tuma nauli askari kanzu wanaenda Moshi.. Wanakuwa wanampa ulinzi Mbowe pamoja na mipango hiyo ya ugaidi ambayo Urio anasema..
CID kwakweli amekosea sana.. Maana kama kulikuwa na njama za ugaidi hawa askari kanzu wangesoma mchezo wote.. Wangekuwa wanajua nani na nani wapo wapi... Plan iweje... Mikoani sijui Moro.. Iringa.. Kukata miti barabarani nk
MATOKEO YAKE
Hakuna maelezo ya kutosha ya watu hao wanne wangefanyaje huo ugaidi kwa maeneo mbalimbali..
Tutabaki tunabishana humu ndani mpaka kesho kutwa.. Lakini Polisi... Urio wote hawakujipanga na hii issue kama kweli Mbowe alipanga ugaidi..
Extraction za simu zao ni hela kwenda huku na kupokelewa.. Hakuna voice record call kujua kilichozungumzwa
Zaidi ya SMS za happy new year.. Wasalimie nk
HII KESI ITAENDA KUAMULIWA VIZURI COURT OF APPEAL