"KISA NIPO side yao"- ni kisisitizo cha sentensi ( KISA NIPO=hata kama ningekuwa)
Njia ya muongo ni fupiMbowe
ulikutana naye lini?
January 2020.
Unajua January 2020 mbowe alikuwa segerea.
ngei kwa ushabiki mzee, kilichopo ndicho naongea! Sina side yoyote
Usitegemee nitashangilia kijana wa miaka 31 kumtongoza mbibi wa miaka 61 kisa nipo side yao, and amekiri mwenyewe!! Kama wewe una ushabiki wa hivyo pole mjombaa....
Naona Wakuu leo mnanishushia vitu vizito kichwani balaaa.....Hahaha! Siku yenu leo....Enjoy the day ChiefsKaa kimya tu akili ndogo, eti huna upande, halafu hapo hapo unasema hata kama nipo upande wao!
Kunywa maji Kwanza!!Naona Wakuu leo mnanishushia vitu vizito kichwani balaaa.....Hahaha! Siku yenu leo....Enjoy the day Chiefs
And jamaa zangu wameniacha mkiwa kama Musiba/Sabaya/Bashite hahaha...Kunywa maji Kwanza!!
Kavurugwa huyo asikuchoshe mkuu, hivi ni kwanini Watoto wa teuzi ,Akili zao hazina akili.Kaa kimya tu akili ndogo, eti huna upande, halafu hapo hapo unasema hata kama nipo upande wao!
Walikuwa na COVID-19 bila shaka wanapiga jeramba🏋️.Walikua na mashahidi 19 sidhani Kama watafika hata Kumi kwa mwenendo huu.
Huyo jamaa ni bonge la mnafikiKaa kimya tu akili ndogo, eti huna upande, halafu hapo hapo unasema hata kama nipo upande wao!
Kasagiwa Kunguni leo na sumu ya panya juu, kesi ikiisha tu, TRA wanaye na kabla hakaa sawa, Perjery na contempt of court inamuhusu kwa kutoa ushahidi wa uongo, haya yote yakiisha, wanampeleka akajiunge na bosi wake wa zamani huko Gerezani Arushakishanukaaa tiari
Hahahahaha wameanza kula kona!nasikia shahidi wa tatu simu yake haipatikani toka juzi.
Yaani we acha tu nimecheka kwa sauti, huyu sijui kaokotwa wapiHuyu shahidi kawaingiza chimbo wenzake, afu anataka eti awe shahidi muhimu kwenye hii kesi
Naona baada ya ushahidi wa kukata miti na kuirundika barabarani toka Dar mpaka Iringa mabalozi wameacha kuja mahakamani, hawa si watakuwa wametudharau!
Nani anataka dhihaka zile? Unaulizwa kwa hiyo umetoka kwa mchumba wako kuja kutoa ushahidi hapa sio? Ile unaitikia tu unapigwa na kitu kizito cha swali, mi ningehama kbs nchi, walionituma wasinipate tena niwe nimekula mshiko wako bureeeeenasikia shahidi wa tatu simu yake haipatikani toka juzi.
Ndo uzito wa ushahidi, unaweza kufika SHAHIDI wa 9 ukasema inatosha waliobaki hawana jipya. Kwa hiyo Kangai no.1 Kaaya No.2 subiri No.3.Hv hao mashaidi wanaposema sijui Namba 2 na kesho atakuja Namba 3 n.k wanakuwa wanapangwa kutokana na uzito wa ushahidi wao ambao wanatarajia kuutoa au ni namba tu wanapewa kutokana upatikanaji wao??
Mwenye kujua please anisaidie
kiswahili si Tunu ya Taifa letu au ni kizungu?Nyie si mkishiba mnakandia Kingereza sio muhimu, enewei kuna pendekezo la Mwigulu enzi za mwendazimu kama halikupuuzwa…. lilikuwa hukumu ziandikwe Kiswahili ili hata yeye aelewe.