Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

kishanukaaa tiari
Kasagiwa Kunguni leo na sumu ya panya juu, kesi ikiisha tu, TRA wanaye na kabla hakaa sawa, Perjery na contempt of court inamuhusu kwa kutoa ushahidi wa uongo, haya yote yakiisha, wanampeleka akajiunge na bosi wake wa zamani huko Gerezani Arusha
 
Hv hao mashaidi wanaposema sijui Namba 2 na kesho atakuja Namba 3 n.k wanakuwa wanapangwa kutokana na uzito wa ushahidi wao ambao wanatarajia kuutoa au ni namba tu wanapewa kutokana upatikanaji wao??
Mwenye kujua please anisaidie
 
Ah! Power Kaaya mbali na kuupiga mwingi mpaka sasa ndiye man of the match.

Ushahidi wake umekuwa kama mzaa mahakamani. Haya mambo yataendelea kuifedhehesha ofisi ya DPP kama mtindo wa mashaidi wao ndo huu.
 
nasikia shahidi wa tatu simu yake haipatikani toka juzi.
Nani anataka dhihaka zile? Unaulizwa kwa hiyo umetoka kwa mchumba wako kuja kutoa ushahidi hapa sio? Ile unaitikia tu unapigwa na kitu kizito cha swali, mi ningehama kbs nchi, walionituma wasinipate tena niwe nimekula mshiko wako bureeeee
 
Hv hao mashaidi wanaposema sijui Namba 2 na kesho atakuja Namba 3 n.k wanakuwa wanapangwa kutokana na uzito wa ushahidi wao ambao wanatarajia kuutoa au ni namba tu wanapewa kutokana upatikanaji wao??
Mwenye kujua please anisaidie
Ndo uzito wa ushahidi, unaweza kufika SHAHIDI wa 9 ukasema inatosha waliobaki hawana jipya. Kwa hiyo Kangai no.1 Kaaya No.2 subiri No.3.
 
Nyie si mkishiba mnakandia Kingereza sio muhimu, enewei kuna pendekezo la Mwigulu enzi za mwendazimu kama halikupuuzwa…. lilikuwa hukumu ziandikwe Kiswahili ili hata yeye aelewe.
kiswahili si Tunu ya Taifa letu au ni kizungu?
 
Back
Top Bottom