Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Kuna kutoa na kutunga kumbeHuyu ashitakiwe chini ya kif. 106 cha Penal code (kutunga ushahidi wa uongo) na siyo 102 kutoa ushahidi wa uongo. Huyu katunga ushahidi akielekezwa na Sabaya na Kangai.
Shukran kwa ufafanuzi