Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Huyu Kaaaya mpaka sasa ni Kihiyo Mwingine ndani ya nyumba ya pilato...sijui hao waliomleta wanajisikiaje kwa sasa, au labda akili zao ni kama zake pia ingawaje ni wanajiita wanasheria wasomi wa serikali...
Sijaelewa huyu ameletwa kutoa Ushahidi juu ya nini? Ugaidi au Kumdhuru DC Sabaya? Mbona yote hakuna ? Ahaaa tunapotezewa muda. WaJe Mashahidi wanazibitisha Ugaidi wa Mbowe na Wenzie. Urio yuko wapi? Yeye si ndiye aliripoti Polisi?
Mbowe Mungu akufute Machozi. Akayarudishe maisha yako wewe na Wenzie yaliyoliwa na Balale na Nzige.
 
unashindwa kielewa wewe bwabwa la ccm !.
serikali ya ccm ilijua kesi kwa ni rahisi kwa uovu wao ili kumpoteza baada ya kuingia mahakamani mambo yanazidi kuibuliwa mpaka itafika uozo wa ccm utajulikana wote.

na hii ndio kesi ya kwanza tanzania inaonyesha ccm kuwa imeoza na utawala wa mabavu
Usitukane mamba kabla hujavuka mto, wewe sijui ni bwabwa la wapi....
 
Mimi siongei kwa ushabiki mzee, kilichopo ndicho naongea! Sina side yoyote

Asiye na side atakuwa huyu?

IMG_20211028_133446_239.jpg


Kwa kutuona je wachawi nyie?
 
Asiye na side atakuwa huyu?

View attachment 1989584

Kwa kutuona je wachawi nyie?
Kwani ni uongo hayo niliyoongea? The thing nimekuwa nasema watu waache kushangilia mapema, wasubiri, and either matokeo kwangu mimi ni OK!!

Sasa kuna watu wanaconclude as if mtu wamtakao wao ameshashinda, ikija kutokea ndivyo sivyo mayowe yanakuwa meengiii!! Lets wait and see mwisho utakuwaje (Not in a bad blood)
 
Kibatala: Mkutano wa kwanza unaosema mlikutana na Mbowe, Kama Kweli ilikuwa Lini

Shahidi: mwaka 2020 Mwezi wa Kumi, sikumbuki tarehe.

...................................
.......................................
..........................................

Kibatala: Ulipokamatwa 20/08/2020 ulihifadhiwa Gereza gani..?

Shahidi: Ukonga

kibatala: Lakini Ulikutana na Mbowe Longido 0ctober 2020, Okeeeey Kazi yangu Kuuliza Maswali.

Kibatala: haya Mara ya Pili Mlikutana na Mbowe Wapi na lini

Shahidi: Mwanzoni Mwaka 2020

Mkutano wa kwanza October, 2020 wakati 20/08/2020 alikuwa jela, alikutana naye wapi? Jela?
Mkutano wa pili Mwanzoni mwa October, 2020
I fail to make sense out of this .......
 
IMG_1844.jpg

Mkutano wa kwanza na Mbowe ulikuwa Mwezi 10.2020
Wakati huo shahidi alikamatwa tar 20.08.2020
Then wakakutana kwa mara ya pili Mwanzoni mwa 2020
Mwenzenu sielewi niko hoves [emoji23]
 
Kwa taarifa yako sasa huyo dogo ni picha halisi ya viongozi wetu wanaofanya maamuzi. Na hii kesi inaweka wazi malalamiko yetu ya muda mrefu kuwa vyombo vyetu vya dola ni sehemu ya uhalifu unaoendelea hapa nchini.

Kuna mahusiano makubwa kati ya vyombo vya dola na lile kundi la watu wasiojulikana. Ukweli huu uko wazi, lakini unakaliwa kimya maana vyombo vyetu vya dola na serikali ni sehemu ya uhalifu huo.
Huyu shahidi ni empty head utopolo kabisa...hiki ndio kiwango cha uelewa cha watu wetu... huyu ni mtu anayekutana na waheshimiwa mara kwa mara...
 
Kwani ni uongo hayo niliyoongea? The thing nimekuwa nasema watu waache kushangilia mapema, wasubiri, and either matokeo kwangu mimi ni OK!! Sasa kuna watu wanaconclude as if mtu wamtakao wao ameshashinda, ikija kutokea ndivyo sivyo mayowe yanakuwa meengiii!! Lets wait and see mwisho utakuwaje (Not in a bad blood)
Matokeo ya kesi sio issue maana wakubwa wakiamua kukufunga hata ufanyaje watakufunga tu, tunayoongelea hapa ni huo ushaidi utakaoweza kuwatia hatian hao watuhumiwa na mashahidi wenyewe ndio kama hao kina Kaaya, huitaji akili ya law school kujua mwenendo wa kesi mpaka hapa tulipofikia leo lasivyo ni kujitoa ufahamu tu.
 
Back
Top Bottom