Ati shahidi alikutana na Mbowe Aishi hotel. Kumbe siku hiyo Mbowe alikiwa mahabusu UkongaUnashindwa kielewa wewe bwabwa la ccm !.
serikali ya ccm ilijua kesi kwa ni rahisi kwa uovu wao ili kumpoteza baada ya kuingia mahakamani mambo yanazidi kuibuliwa mpaka itafika uozo wa ccm utajulikana wote.
Na hii ndio kesi ya kwanza tanzania inaonyesha ccm kuwa imeoza na utawala wa mabavu
Umeongea point Sana Mkuu, Re-examination ya Leo haijaponya majeraha ya ushahidi wa Power.Cross examination ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine, ukisoma vitabu na kuwatazama mawakili nguli dunia namna wanavyofanya cross examination unaweza kusema kama wanafanya mzaha vile...
We mama mpkie mumeo Acha umbeaWANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
bado kesi ya kumuua mmeo kwa ajili ya kutaka kumiliki mali zake,hapo ndipo utajua who's kibatala!.WANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
Akili ndogo kama za Kaaya.Kaa kimya tu akili ndogo, eti huna upande, halafu hapo hapo unasema hata kama nipo upande wao!
Wewe ripoti vyenye uhalisia.wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.
maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%
nyie endeleeni kujidanganya
Mkuu; utukufu, na ukuu, na enzi ni vyake Bwana Mungu! Jina lake litukuzwe milele na milele! Amen.Mkuu dudus kwa ubora wa andishi hili naomba niweke Mahali pa msomaji wako kupata ukweli wa kile ulichoandika kwenye Biblia ktk kitabu cha
Kutoka 14: 15-25
We ndo Joyce au yule mlinzi?Haufahamu kuwa kuyatupilia mbali yale mapingamizi ndiyo sababu ya kihoja kinachoendelea mahakamani? is as if unasema hata kama mkishangilia mbowe atafungwa tu, is it?
Kweli kabisa BwasheeWANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
Je ni kweli kwamba ulimpa elfu 50 mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai na pia ukamtongoza?? Kaaya: Ni kweli... Kibatala: wewe una miaka mingapi? Kaaya: 31... Kibatala : unajua kwamba huyo uliyekuwa ukamtongoza ana miaka 60? Kaaya : Sijui [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Inawezeka ukawa gerezani segerea at the same time ukakutana na Jesca wa Sabaya Longido?
Tuache hilo.... Ulikutana na Mbowe lini? Octoba 2020! Ulikamatwa lini? Agosti 2020! Umekaa gerezani miezi mingapi? 11...!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani hapa kuna shida maana kila shahidi anaapishwa kusema ukweli, lakini maajabu ni kwamba hata pale jaji anapokuwa ameona kabisa huu ni uongo hakuna hatua yoyote inayochukuliwa. Kiufupi kwa nchi hii sijawahi kuona hatua yoyote inayochukuliwa na anayevunja kiapo.Basi Mwamba kajichanganya kooote..
By the way me sijui mambo ya Sheria, hivi mtu akiidanganya mahakama, adhabu yake ikoje Mkuu?
Mfano mzuri mtu anadai Mbowe kaja Longido wakati kumbukumbu za kimahakama ziko wazi kwamba alikuwa Segerea, mbona kaachwa?Adhabu yake sijui, ila ni kosa kubwa sana ambalo linaloweza kubadili mwenendo mzima wa kesi
Mahakama ya kipindi jiki ni sawa sawa na lile bunge la mazuzu.Mfano mzuri mtu anadai Mbowe kaja Longido wakati kumbukumbu za kimahakama ziko wazi kwamba alikuwa Segerea, mbona kaachwa?
Mmeshaanza kushangilia ushindi wakati ndiyo kwanza dakika ya 5 kati ya 90, punguzeni mihemko
Tatizo lako ni undezi, kila mwenye akili anajua kwamba kuna tatizo la askari kutofuata PGO kwenye kazi zao huku wao kila siku wakitaka watu watii sheria bila shuruti.Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
Tatizo ni pale unapomuona mtu amefungua koki ya tanker la mafuta halafu anakuja na kijinga cha moto wewe unasema anajua anachofanya, kalagabaho.Unaweza kumuona zuzu kumbe anajua anachokifanya. Watu wakutese mwaka mzima halafu uwe upande wao.
Idiot!!!!!! Tangu siku ya kwanza mpaka leo nipo mahakamani,sijaona tofauti yoyote iliyo ripotiwa.Kwanini vijana wa CCM mnatafuta laana kwa nguvu.Inakusiadia nini kudanganya?wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.
maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%
nyie endeleeni kujidanganya
Nimecheka sanaNani anataka dhihaka zile? Unaulizwa kwa hiyo umetoka kwa mchumba wako kuja kutoa ushahidi hapa sio? Ile unaitikia tu unapigwa na kitu kizito cha swali, mi ningehama kbs nchi, walionituma wasinipate tena niwe nimekula mshiko wako bureeeee
umesahau kuwa mwisho kuna re examination na final submission.- wewe naye zuzu tuHuyu shahidi No 2 wa Jamhuri wakati anaongozwa na Wakili wa Serikali basi akaona mambo yamekwisha, alaa kumbe kuna Cross- examination.. yaani kwa wale mliofika high school mtakumbuka Paper II zilivyokuwaga noma, jamaa ndo kakutana nayo !!