Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Unashindwa kielewa wewe bwabwa la ccm !.

serikali ya ccm ilijua kesi kwa ni rahisi kwa uovu wao ili kumpoteza baada ya kuingia mahakamani mambo yanazidi kuibuliwa mpaka itafika uozo wa ccm utajulikana wote.

Na hii ndio kesi ya kwanza tanzania inaonyesha ccm kuwa imeoza na utawala wa mabavu
Ati shahidi alikutana na Mbowe Aishi hotel. Kumbe siku hiyo Mbowe alikiwa mahabusu Ukonga
 
Cross examination ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine, ukisoma vitabu na kuwatazama mawakili nguli dunia namna wanavyofanya cross examination unaweza kusema kama wanafanya mzaha vile...​
Umeongea point Sana Mkuu, Re-examination ya Leo haijaponya majeraha ya ushahidi wa Power.
 
WANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
We mama mpkie mumeo Acha umbea
 
WANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
bado kesi ya kumuua mmeo kwa ajili ya kutaka kumiliki mali zake,hapo ndipo utajua who's kibatala!.
 
Mkuu dudus kwa ubora wa andishi hili naomba niweke Mahali pa msomaji wako kupata ukweli wa kile ulichoandika kwenye Biblia ktk kitabu cha
Kutoka 14: 15-25
Mkuu; utukufu, na ukuu, na enzi ni vyake Bwana Mungu! Jina lake litukuzwe milele na milele! Amen.
 
WANAOCHANGIA KISHABIKI WA MBOWE HUMU NDANI HUKUMU IKITOKA MTALIA MACHOZI MAANA USHAHIDI UNAOTOLEWA UKO WAZI MBOWE MHALIFU BADALA YA KUTAFUTA MASWALI YA MAANA HUYO WAKILI ANAYEJIITA MSOMI KIBATALA YAANI HAMNA KITU KABISA BORA WANGEMLETA LISSU AMTETEE MBOWE LAKINI KWA KIBATALA WAMEPIGA CHANGA LA MACHO CHADEMA
Kweli kabisa Bwashee
 
Inawezeka ukawa gerezani segerea at the same time ukakutana na Jesca wa Sabaya Longido?

Tuache hilo.... Ulikutana na Mbowe lini? Octoba 2020! Ulikamatwa lini? Agosti 2020! Umekaa gerezani miezi mingapi? 11...!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Je ni kweli kwamba ulimpa elfu 50 mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai na pia ukamtongoza?? Kaaya: Ni kweli... Kibatala: wewe una miaka mingapi? Kaaya: 31... Kibatala : unajua kwamba huyo uliyekuwa ukamtongoza ana miaka 60? Kaaya : Sijui [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Basi Mwamba kajichanganya kooote..

By the way me sijui mambo ya Sheria, hivi mtu akiidanganya mahakama, adhabu yake ikoje Mkuu?
Nadhani hapa kuna shida maana kila shahidi anaapishwa kusema ukweli, lakini maajabu ni kwamba hata pale jaji anapokuwa ameona kabisa huu ni uongo hakuna hatua yoyote inayochukuliwa. Kiufupi kwa nchi hii sijawahi kuona hatua yoyote inayochukuliwa na anayevunja kiapo.
 
Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
Tatizo lako ni undezi, kila mwenye akili anajua kwamba kuna tatizo la askari kutofuata PGO kwenye kazi zao huku wao kila siku wakitaka watu watii sheria bila shuruti.

Hata kama maamuzi yametolewa in favor of one side huu ukweli uko pale pale. Sasa kwa kuwa wewe umepofushwa na mahaba ya mbogamboga hili huwezi kuliona. Mwenzio leo Kaulizwa : ulikuwa unakaa nyumbani kwa DC kama nani?

Uliwahi kufanyiwa vetting? Hivi unajua kwamba nyumbani kwa DC ni Ikulu ndogo? Unajua kwamba vikao vya kamati ya ulinzi na usalama vinafanyika kwa DC?

Ameishia kutumbua mimacho na kusema nilimtongoza bibi na kuhonga elfu 50 [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Unaweza kumuona zuzu kumbe anajua anachokifanya. Watu wakutese mwaka mzima halafu uwe upande wao.
Tatizo ni pale unapomuona mtu amefungua koki ya tanker la mafuta halafu anakuja na kijinga cha moto wewe unasema anajua anachofanya, kalagabaho.
 
wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.

maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%

nyie endeleeni kujidanganya
Idiot!!!!!! Tangu siku ya kwanza mpaka leo nipo mahakamani,sijaona tofauti yoyote iliyo ripotiwa.Kwanini vijana wa CCM mnatafuta laana kwa nguvu.Inakusiadia nini kudanganya?

Shilingi 7000/-tu?Acha uzindaki huo alikuwa Magufuli akaondoka ,alikuwepo Cyprian Musiba akaondoka,alikuwepo Paul Makonda akaondoka,alikuwepo Sabaya akaondoka,alikuwepo Chalamila akaondoka.
 
Nani anataka dhihaka zile? Unaulizwa kwa hiyo umetoka kwa mchumba wako kuja kutoa ushahidi hapa sio? Ile unaitikia tu unapigwa na kitu kizito cha swali, mi ningehama kbs nchi, walionituma wasinipate tena niwe nimekula mshiko wako bureeeee
Nimecheka sana
 
Huyu shahidi No 2 wa Jamhuri wakati anaongozwa na Wakili wa Serikali basi akaona mambo yamekwisha, alaa kumbe kuna Cross- examination.. yaani kwa wale mliofika high school mtakumbuka Paper II zilivyokuwaga noma, jamaa ndo kakutana nayo !!
umesahau kuwa mwisho kuna re examination na final submission.- wewe naye zuzu tu
 
Back
Top Bottom