mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
ingekua ni hivi unavyosema ww mkuu,Wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.
Maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%
Nyie endeleeni kujidanganya
Tulia wewe. MUNGU hasimami upande wa waongo. Mnachopanda ndicho mtakachovuna. Agost 2020 ,Oktoba 2020, miezi 11 gerezani wapi na wapi.Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
Unajua mkuu 'Kantomku', "waliojitwalia" hizo nafasi, hawana wajibu wa "kuzitumia kwa wema na unyoofu wa mioyo" yao. Kwa sababu "wamejitwalia".Naomba niwaulize swali, hivi kwenye hili Jukwa ni nani hana uwezo wa kuwa Rais, Waziri, Mkuu wa Mkoa, RPC etc?
Mantiki ya swali langu ni kwamba wapo Watanzania maelfu wanaweza kuzihold hizi nafasi. Kwa hiyo wale ambao Mungu amewaweka ama wamejitwalia hizi nafasi wazitumie kwa wema na unyoofu wa moyo.
Kingai na Justine taarifa zao zinakufanya uone hii kesi ni ngumu, au kuna shahidi mwingine unayemtilia matumaini makubwa zaidi ya hawa wawili?"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake...
Wewe ni hasara kwa familia yako,kesi ya kijinga hii hata Pierre Liquid anaweza toa hukumu, serikali inafanya mambo ya kitoto mpaka aibu"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."...
Hukusikia cross re examination ameshajibu hilo.Tulia wewe. MUNGU hasimami upande wa waongo. Mnachopanda ndicho mtakachovuna. Agost 2020 ,Oktoba 2020, miezi 11 gerezani wapi na wapi.
Hilo Likaayaa laonekana shabiki mukubwa wa CCM na dolari yake.MaCCM wote akili zao hazina , wamejimilikisha kodi zetu wanafanya wanavyojisikia. Siku yao yaja tutawazika wakiwa hai. waache waendeleze uwendawazimu waliorithishwa na Magufuli.
Ndiyo tatizo la kesi za mitaani za BUSH LAYERS kuzipeka kwa PROFESSIONAL LAYERS wachee waumbuke wameyataka wenyewejHuyu shahidi ni empty head utopolo kabisa...hiki ndio kiwango cha uelewa cha watu wetu... huyu ni mtu anayekutana na waheshimiwa mara kwa mara...anauelewa na ujinga kwa kiasi hiki yaani full kiazi...
kwa dodoso za kibatala kuna uwezekano alikuwa alishiriki vitendo vya uhalifu na sabaya .akamatwe chap ashitakiwe ale 30 kama wenzakeUVCCM anzeni recruitment mpya ya vijana, kama vijana wenyewe ndio hawa basi Chama kina hasara kubwa sana na Taifa pia...huyu ni kijana aliyehitimu form four akili inashindwa kuchakata faster na kujinasua...
Tanzania hasa serikalinii hakuna wasomiYaani..kila nikifuatilia mashahidi wa Jamhuri nanusa Harufu ya kuivua nguo Sirikali yao..ujibuji wa maswali ni pasposhaka wa kupikwaaa. Lakini juu ya yote Anaeabika ni Governmentali...Hii kesi Ifutwee vingnevo.
Mungu anaenda kuiangusha Governmentali. Waziri wa Katiba futilia mbali..ukushirikiana na wenzako shauri hili...linatia aibu Wasomi wa nchi hii!
Kwasababu unatumia makalio kufikiri, na ubongo kuendea haja.Umeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Sio lazima kila kitu uelewe kwa sasa au wakati huu, Mengine utaelewa ukifika MbinguniUmeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Ndio maelezo ya Shahidi huyo wa Serikali hapo Mahakamani Kama hukuelewa ndio maana tunasema huyo Shahidi lazima atakuwa mchawiUmeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Huwezi kuelewa maana kaaya si amewaharibu vichwa janaUmeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Ukitumia instincts, kuna mkanganyiko wa hatariiiiiii wa tareheUmeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Ndio maelezo ya Shahidi huyo wa Serikali hapo Mahakamani Kama hukuelewa ndio maana tunasema huyo Shahidi lazima atakuwa mchawi
mkuu uyu nae anaitwa power😂😂Kwasababu unatumia makalio kufikiri, na ubongo kuendea haja.
Ni kivutio cha watalii. Mojawapo ya maajabu ya Tz.Huyu Kaaaya mpaka sasa ni Kihiyo Mwingine ndani ya nyumba ya pilato...sijui hao waliomleta wanajisikiaje kwa sasa, au labda akili zao ni kama zake pia ingawaje ni wanajiita wanasheria wasomi wa serikali...