mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
ingekua ni hivi unavyosema ww mkuu,Wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.
Maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%
Nyie endeleeni kujidanganya
wale wanao hudhuria kesi live pale mahakamani,
hasa wale wanao push hii kitu iwe vile walivyopanga iwe,
wangekuja kupiga kelele mitandaoni kua wanao report hii kesi,
Jamiiforum na Twitter, wanapotosha uma kwa maslahi zao binafsi.