Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Wengi mnaamini sana update za kubumba... nenda kortin utashangaa yanayoandikwa na kinachoelezwa pale ndani.

Maripota wanaripoti kwa mahaba wala sio kile kinachozungumzwa 100%

Nyie endeleeni kujidanganya
ingekua ni hivi unavyosema ww mkuu,

wale wanao hudhuria kesi live pale mahakamani,

hasa wale wanao push hii kitu iwe vile walivyopanga iwe,

wangekuja kupiga kelele mitandaoni kua wanao report hii kesi,

Jamiiforum na Twitter, wanapotosha uma kwa maslahi zao binafsi.
 
Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
Tulia wewe. MUNGU hasimami upande wa waongo. Mnachopanda ndicho mtakachovuna. Agost 2020 ,Oktoba 2020, miezi 11 gerezani wapi na wapi.
 
Naomba niwaulize swali, hivi kwenye hili Jukwa ni nani hana uwezo wa kuwa Rais, Waziri, Mkuu wa Mkoa, RPC etc?

Mantiki ya swali langu ni kwamba wapo Watanzania maelfu wanaweza kuzihold hizi nafasi. Kwa hiyo wale ambao Mungu amewaweka ama wamejitwalia hizi nafasi wazitumie kwa wema na unyoofu wa moyo.
Unajua mkuu 'Kantomku', "waliojitwalia" hizo nafasi, hawana wajibu wa "kuzitumia kwa wema na unyoofu wa mioyo" yao. Kwa sababu "wamejitwalia".

Hilo la "kuwekwa na Mungu", tafadhali achana nalo. Hakuna kiongozi anayewekwa na Mungu halafu matendo yake yakawa tofauti na uMungu.
 
"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake...
Kingai na Justine taarifa zao zinakufanya uone hii kesi ni ngumu, au kuna shahidi mwingine unayemtilia matumaini makubwa zaidi ya hawa wawili?

Itabidi nikutafutie jina jingine, maana kiazi' hakika kina nafuu!
 
"Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."...
Wewe ni hasara kwa familia yako,kesi ya kijinga hii hata Pierre Liquid anaweza toa hukumu, serikali inafanya mambo ya kitoto mpaka aibu
 
MaCCM wote akili zao hazina , wamejimilikisha kodi zetu wanafanya wanavyojisikia. Siku yao yaja tutawazika wakiwa hai. waache waendeleze uwendawazimu waliorithishwa na Magufuli.
Hilo Likaayaa laonekana shabiki mukubwa wa CCM na dolari yake.
 
Huyu shahidi ni empty head utopolo kabisa...hiki ndio kiwango cha uelewa cha watu wetu... huyu ni mtu anayekutana na waheshimiwa mara kwa mara...anauelewa na ujinga kwa kiasi hiki yaani full kiazi...
Ndiyo tatizo la kesi za mitaani za BUSH LAYERS kuzipeka kwa PROFESSIONAL LAYERS wachee waumbuke wameyataka wenyewej
 
UVCCM anzeni recruitment mpya ya vijana, kama vijana wenyewe ndio hawa basi Chama kina hasara kubwa sana na Taifa pia...huyu ni kijana aliyehitimu form four akili inashindwa kuchakata faster na kujinasua...
kwa dodoso za kibatala kuna uwezekano alikuwa alishiriki vitendo vya uhalifu na sabaya .akamatwe chap ashitakiwe ale 30 kama wenzake
 
Yaani..kila nikifuatilia mashahidi wa Jamhuri nanusa Harufu ya kuivua nguo Sirikali yao..ujibuji wa maswali ni pasposhaka wa kupikwaaa. Lakini juu ya yote Anaeabika ni Governmentali...Hii kesi Ifutwee vingnevo.

Mungu anaenda kuiangusha Governmentali. Waziri wa Katiba futilia mbali..ukushirikiana na wenzako shauri hili...linatia aibu Wasomi wa nchi hii!
Tanzania hasa serikalinii hakuna wasomi
 
Umeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
 
Umeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Sio lazima kila kitu uelewe kwa sasa au wakati huu, Mengine utaelewa ukifika Mbinguni

Subiri ukifa mengine utayakuta huko huko na utayaelewa vizuri sana

Viongozi wa Dini wanasema uwe na Imani tu, Utayaelewa vizuri kuwa Dunia ilitoka wapi na sisi tunaelekea wapi wakati wako utakapofika tu

Ondoa hofu siku yako ipo karibu sana
 
Umeandikaaa nimesomaaa ila sijaelewa ulichoandika kwa kweli
Ndio maelezo ya Shahidi huyo wa Serikali hapo Mahakamani Kama hukuelewa ndio maana tunasema huyo Shahidi lazima atakuwa mchawi
 
Ndio maelezo ya Shahidi huyo wa Serikali hapo Mahakamani Kama hukuelewa ndio maana tunasema huyo Shahidi lazima atakuwa mchawi

Nimekuelewa Lituye

Huu ushahidi wa ajabu sana lol
 
Huyu Kaaaya mpaka sasa ni Kihiyo Mwingine ndani ya nyumba ya pilato...sijui hao waliomleta wanajisikiaje kwa sasa, au labda akili zao ni kama zake pia ingawaje ni wanajiita wanasheria wasomi wa serikali...
Ni kivutio cha watalii. Mojawapo ya maajabu ya Tz.
 
Back
Top Bottom