Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Mkuu utaratibu si unajikana maana pia kuna maelekezo kutoka ... wewe huoendi cheo na bonus?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!! Kwahiyo Bwana Kaaya anachezea kufuli la segerea!!
Kwa maelekezo toka juu, ila aibu mnaona nyie.Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
Wakati Kaaya anazaliwa Helga Mchomvu alikuwa na miaka 29, kama angeolewa na miaka 22 angekuwa ni mama mwenye watoto 4 yaani akiwa na 23, 25, 27 na 29.Tofauti ya miaka 29 Sawa na mtoto wake wa 3 kuzaa.
UVCCM kumejaa laana, mnatongoza mpaka mama zenu.
"Perjury is the intentional act of swearing a false oath or falsifying an affirmation to tell the truth, whether spoken or in writing, concerning matters material to an official proceeding.Shukrani Mkuu.
Sasa ndo nimeelewa Kwa nini DPP Mganga alitolewa na kuhongwa uJAJI. Hakuna Mwanasheria mwenye akili timamu anaweza kukubali aibu hii ifike mahakamani.
Kijana anachukulia mzaha kwenye kesi ya UGAIDI, huyu ameidanganya mahakama mambo mengi aliyosema yanakinzana, hajatoa chochote cha kuthibitisha mbali na UGAIDI hata uhalifu wowote wa Mbowe na wenzake.UVCCM anzeni recruitment mpya ya vijana, kama vijana wenyewe ndio hawa basi Chama kina hasara kubwa sana na Taifa pia...huyu ni kijana aliyehitimu form four akili inashindwa kuchakata faster na kujinasua.....Jaji ikiwezekana amfunge huyu kijana hata 30yrs hivi kwa kuleta mzaha kwenye mambo ya maana na iwe fundisho kwa vijana wengine kuacha tabia ya uchawa na upambe usio na maana...
Huyu wa leo halambi kitu, ameharibu sana.Hata Kingai kaukwaa URPC baada ya kuhakikishia mamlaka ameshasuka vema mipango ya kesi hii, Siyani Jaji Kiongozi vile vile…. na wote wanaohusika watalamba vyeo tu.
Ha ha ha, kashafumua engine kaka, gia ya 4 kwenda rivasi, lazima piston zitokee ubavuni..gari kwishaaJamani hapa nilipo mbavu zinavujika. Jamaa alivyojeuza gea kwenda Rivas wakati alikuwa aende namba 4. Huyu jamaa anachezea mahakama. Maunt meru hutakaa usahau.
Afadhali walau Kingai alijitahidi tahidi laahHuyu wa leo halambi kitu, ameharibu sana.
Kaka huyu shahidi wa leo badala ya wepesi katupa uzito.Mungu akupe wepesi bwashee!
Kaaya labda alambwe makofi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu wa leo halambi kitu, ameharibu sana.
Wala usisiwe na shida hata mkifanya tofauti sisi hatuna nguvu na wala hatuna cha kufanya.Sisi furaha yetu ni kuhakikisha dunia inainajua ubaya wa serikali na CCM.Haya mengine ni ya kwenu endeleeni nayo.Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe.
Huyu ashitakiwe chini ya kif. 106 cha Penal code (kutunga ushahidi wa uongo) na siyo 102 kutoa ushahidi wa uongo. Huyu katunga ushahidi akielekezwa na Sabaya na Kangai.Adhabu yake sijui, ila ni kosa kubwa sana ambalo linaloweza kubadili mwenendo mzima wa kesi
Jana Jaji alimwambia Yuko chini ya uangalizi wa Mahakama Kwa kudanganya kwamba Machame iko wilaya ya Moshi.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!! Kwahiyo Bwana Kaaya anachezea kufuli la segerea!!
... hao ndio UVCCM; kutembea na mama zao wala hawaoni tabu!Dogo amekiri kutaka kula mzigo wa bibi 60, ha ha ha aisee kweli nimekubali Power Kaaya wew ni mnomaa
Na anaweza kuwa ameshavuka boda ya Namanga kwa hofu ya kudharirika kama Bwn Kaaya kwa ushahidi wa uongo!!!Wakili wa Serikali: Shahidi Mwingine tuliyekuwa tumemuita hajafika