Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!! Kwahiyo Bwana Kaaya anachezea kufuli la segerea!!
Mkuu utaratibu si unajikana maana pia kuna maelekezo kutoka ... wewe huoendi cheo na bonus?
 
Tofauti ya miaka 29 Sawa na mtoto wake wa 3 kuzaa.
UVCCM kumejaa laana, mnatongoza mpaka mama zenu.
Wakati Kaaya anazaliwa Helga Mchomvu alikuwa na miaka 29, kama angeolewa na miaka 22 angekuwa ni mama mwenye watoto 4 yaani akiwa na 23, 25, 27 na 29.
 
Shukrani Mkuu.
"Perjury is the intentional act of swearing a false oath or falsifying an affirmation to tell the truth, whether spoken or in writing, concerning matters material to an official proceeding.

Perjury is considered a serious offense, as it can be used to usurp the power of the courts, resulting in miscarriages of justice. In Canada, those who commits perjury are guilty of an indictable offence and liable to imprisonment for a term not exceeding fourteen years."- Wikipedia wamejaribu kuielezea
 
Shahidi: ni Jina langu Ndiyo Maana naitwa "Power Kaaya" hata kwenye Charge Sheet lipo, tangu kwenye ubatizo niliitwa "Power".

Hivi hiko cheti cha ubatizo kikidaiwa kije Mahakamani kitakutwa kina hilo jina la "Power Kaaya". Aisee huyu jamaa anatimbanganya majambo mpaka inaitia shaka uwepo wa ushahidi wake. Hivi hajui kuna kufungwa kwa ushahidi wa uongo?

Hii kesi ije kuwa rejea la wanafunzi wa sheria, itasaidia sana uelewa wa wanasheria tarajali.
 
Sasa ndo nimeelewa Kwa nini DPP Mganga alitolewa na kuhongwa uJAJI. Hakuna Mwanasheria mwenye akili timamu anaweza kukubali aibu hii ifike mahakamani.

Hata Kingai kaukwaa U-RPC baada ya kuhakikishia mamlaka ameshasuka vema mipango ya kesi hii, Siyani Jaji Kiongozi vile vile…. na wote wanaohusika watalamba vyeo tu.
 
UVCCM anzeni recruitment mpya ya vijana, kama vijana wenyewe ndio hawa basi Chama kina hasara kubwa sana na Taifa pia...huyu ni kijana aliyehitimu form four akili inashindwa kuchakata faster na kujinasua.....Jaji ikiwezekana amfunge huyu kijana hata 30yrs hivi kwa kuleta mzaha kwenye mambo ya maana na iwe fundisho kwa vijana wengine kuacha tabia ya uchawa na upambe usio na maana...
Kijana anachukulia mzaha kwenye kesi ya UGAIDI, huyu ameidanganya mahakama mambo mengi aliyosema yanakinzana, hajatoa chochote cha kuthibitisha mbali na UGAIDI hata uhalifu wowote wa Mbowe na wenzake.

Sisi binadamu kwa nini tunafanyiana hivi kweli?
 
Hata Kingai kaukwaa URPC baada ya kuhakikishia mamlaka ameshasuka vema mipango ya kesi hii, Siyani Jaji Kiongozi vile vile…. na wote wanaohusika watalamba vyeo tu.
Huyu wa leo halambi kitu, ameharibu sana.
 
Jamani hapa nilipo mbavu zinavujika. Jamaa alivyojeuza gea kwenda Rivas wakati alikuwa aende namba 4. Huyu jamaa anachezea mahakama. Maunt meru hutakaa usahau.
Ha ha ha, kashafumua engine kaka, gia ya 4 kwenda rivasi, lazima piston zitokee ubavuni..gari kwishaa

Huyu shahdi ni mzito sana uelewa wake, katuuza vibaya sana.
 
Adhabu yake sijui, ila ni kosa kubwa sana ambalo linaloweza kubadili mwenendo mzima wa kesi
Huyu ashitakiwe chini ya kif. 106 cha Penal code (kutunga ushahidi wa uongo) na siyo 102 kutoa ushahidi wa uongo. Huyu katunga ushahidi akielekezwa na Sabaya na Kangai.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!! Kwahiyo Bwana Kaaya anachezea kufuli la segerea!!
Jana Jaji alimwambia Yuko chini ya uangalizi wa Mahakama Kwa kudanganya kwamba Machame iko wilaya ya Moshi.
 
Back
Top Bottom