Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Jamaa ametepeta sana, kutetea uongo ni kazi sana.

Kuna kesi nilishawahi kuhudhuria, shahidi alitiwa kidole mahakamani na aliyekuwa anamtetea, sababu ya kujikanyaga kanyaga kama hivi.
 
Jamaa ametepeta sana, kutetea uongo ni kazi sana.

Kuna kesi nilishawahi kuhudhuria, shahidi alitiwa kidole mahakamani na aliyekuwa anamtetea, sababu ya kujikanyaga kanyaga kama hivi.
Mtakuja kusema kaonewa nyie ila mpaka sasa JMT 3 - Gaid squad 0

Hata sabaya wakili wake waliwasumbua sana mashaidi 7 ila matokeo?
 
Jamaa ametepeta sana, kutetea uongo ni kazi sana.

Kuna kesi nilishawahi kuhudhuria, shahidi alitiwa kidole mahakamani na aliyekuwa anamtetea, sababu ya kujikanyaga kanyaga kama hivi.
Principle ya kua muongo lazima uwe na kumbukumnu. Wachache sana wenye kipawa hicho.

Wanasemaga ukweli unauma ila sio kweli. Ukiambiwa kitu cha ukweli unajua kabisa unajiteteaje maana ulikifanya. Kitu cha uongo lazima ushtuke na maneno yakuishe hujui uanzie wapi kujitetea
 
Mtakuja kusema kaonewa nyie ila mpaka sasa JMT 3 - Gaid squad 0

Hata sabaya wakili wake waliwasumbua sana mashaidi 7 ila matokeo?
Inakuingia akilini jamaa anasema alikutana na Mbowe huko Longido january 2020, wakati muda huo Mbowe alikuwa gerezani?

Alaf hii inaonesha hata polisi nao hawatunzi kumbukumbu vizuri, inamaana walishindwa kuliona ili mpaka wameenda aibika mahakamani?
 
Shahidi Kaaya anakata viuno tu mbele ya kizimba. Kukariri uongo ni kipaji.
 
Walikua na mashahidi 19 sidhani Kama watafika hata Kumi kwa mwenendo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…