Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Ukiwa mjinga unaweza kufikiri kuwa ni kweli kuna kesi inaendelea.
AIgmal.jpg
 
ni wenyewe tu sio watu smart....watoto wa mjini wanachonga hiyo story hutoki lazim uende jela..vichwa panzi tu hao wooote kuanzia mashahidi, watunga story na hao mawakili wa serikali ( walipaswa kuwashauri mapema mabosi wao ili shauri lifutwe kuliko hii aibu ya kitaifa)..
Sasa ndo nimeelewa Kwa nini DPP Mganga alitolewa na kuhongwa uJAJI. Hakuna Mwanasheria mwenye akili timamu anaweza kukubali aibu hii ifike mahakamani.
 
Mnaanza Tena kelele,mwanzo oooh PGO,lakini baada ya uamuzi kutoka sisikii tena.
Na Sasa kelele debe ....
 
Back
Top Bottom