Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Kamtongoza mama yake 😜😜😜

Kibatala: unafahamu Helga Mchomvu Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri Ya Hai kuwa anamiaka Mingapi

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Mimi Nakwambia Sasa Ana miaka 60,wewe Unamiaka Mingapi

Shahidi: Miaka 31

Kibatala: na Ulimtongoza

Shahidi: Ndiyo
 
Matokeo ya kesi sio issue maana wakubwa wakiamua kukufunga hata ufanyaje watakufunga tu, tunayoongelea hapa ni huo ushaidi utakaoweza kuwatia hatian hao watuhumiwa na mashahidi wenyewe ndio kama hao kina Kaaya, huitaji akili ya law school kujua mwenendo wa kesi mpaka hapa tulipofikia leo lasivyo ni kujitoa ufahamu tu.
Tusubiri Mkuu, uzuri kila kitu kipo hadharani...Siku ya hukumu ya mwisho tutafanya conclusion nzuri, siyo watu kuanza kujump into ideas mapema namna hii
 
Kaenda kuongeza nguvu kutokana na ugumu wa kesi au kaamua kwenda kuchukua pointi za mezani na kupandisha PR yake maana anajua fika ni kesi ya kubumba?

Hiyo kesho ni ushahidi tosha kuwa serikali kwa kushirikiana na vyombo vya dola huwa vinaendeaha uhalifu dhidi ya wapinzani. Hata hiyo jaji aliyepewa hukumu tayari ya kumfunga Mbowe anaona ni utoto wa hali ya juu.

Si bure wale majaji wengine wamejitoa kirahisi, maana dhamira zao zinawasuta kutoa hukumu ya kuifurahisha serikali kwa utoto huo uliopangwa na serikali.
Upande wa utetezi ameongezeka Wakili Niyikiza Seth Jacob, ametokea Bukoba mkoa wa Kagera Kuja kuongeza nguvu katika kesi ya Mbowe na wenzake."

Wapiga mayowe mitandaoni walikuwa wanasema hii kesi rahisi sana, sasa huu utitiri wa mawakili wa nini wakati kesi ni rahisi sana?
 
Kibatala: Je unafahamu January 2020 Freeman Mbowe alikuwa Gerezani Segerea baada ya kufutiwa Dhamana Mahakama ya Kisutu

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Je Mtu akiwa Gerezani Segerea anaweza Kukutana na wewe Longido

Shahidi: Hapana Sifahamu
Huyu mtu mpuuzi sana, linajibu sifahamu , hovyo kabisa. Mtu yuko gerezani unakutana naye Longido. Ushahidi wa kufundishwa johnthebaptist Erythrocyte
 
Huyu shaidi mbona mweupe Sana kichwani, hivi kwanini maelezo aliyotoa Chini ya polisi, ni tofauti na maelezo aliyotoa Jana wakati anaongozwa na wakili wa serikali, Na pia ni tofauti na maelezo aliyoyatoa polisi,Kuna vitu vingi anaviongea havipo ktk maelezo aliyotoa Polisi.

Inamaana sio kazi ya wakili wa serikali kumwambia azungumze kile ambacho amekitolea maelezo au wakili wa serikali huwa hasomi maelezo ya shaidi wake kabla.

hii kesi mbona Kina Mbowe Wana kila dalili yakutokutwa na hatia Kama itahukumiwa kwa haki

Pamoja ya kuwa polisi huwashikilia watuhumiwa kwa muda mrefu lakini wanapowahoji waliokuwa watuhumiwa kama Power Kaaya huwa hawachukui maelezo yakutosha kusaidia kazi yao ya kujenga hoja ya kesi na cha kushangaza ofisi ya DPP haioni hilo!

Jeshi la Polisi upande wa upelelezi na ofisi ya DPP inabidi kufumuliwa, maana inaonesha hawana watu wenye weledi wa kutosha ktk kutekeleza majukumu yao.

Kesi hii namba 16 / 2021 ya Rushwa na Uhujumu Uchumi pamoja na Ugaidi imefanikiwa kuonesha mapungufu makubwa ya kiutendaji wa idara hizi nyeti zilizopo ktk mfumo wa haki jinai na pia Polisi na Ofisi ya DPP kuingiliwa na kutumiwa na viongozi wateuliwa wa CCM kukomoa viongozi wa upinzani.

Na tatizo hili pia huathiri haki za raia wa kawaida maana kama idara hizi nyeti utendaji kazi wao upo hivi basi raia wengi hujikuta wakikosa haki zao na kuumizwa wakati hawana makosa yoyote.
 
Mnafwatilia kesi kwa pupa sana.

Kaaya sio chizi upanguaji wake wa maswali kwa wajinga mnadhani ajui anachofanya.. Ngoja Mshangae Makubwa zaidi ...
Inaelekea you are incapable of following with logical deduction from this interogation.....s
anasema alikutana na Mbowe Longido wakati muda huo Mbowe alikuwa gerezani!

oma hii chini unijuze
Kibatala: Je unafahamu January 2020 Freeman Mbowe alikuwa Gerezani Segerea baada ya kufutiwa Dhamana Mahakama ya Kisutu

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Je Mtu akiwa Gerezani Segerea anaweza Kukutana na wewe Longido

Shahidi: Hapana Sifahamu
 
Pamoja ya kuwa polisi huwashikilia watuhumiwa kwa muda mrefu lakini wanapowahoji waliokuwa watuhumiwa kama Power Kaaya huwa hawachukui maelezo yakutosha kusaidia kazi yao ya kujenga hoja ya kesi na cha kushangaza ofisi ya DPP haioni hilo...
Exactly, nimegundua watu wengi wamefungwa kwa kutokujua haki zao au kwakushindwa kuweka mawakili kwenye kesi zao hili kubaini uongo wa polisi,

Hatari sana
 
Jamaa ametepeta sana, kutetea uongo ni kazi sana.

Kuna kesi nilishawahi kuhudhuria, shahidi alitiwa kidole mahakamani na aliyekuwa anamtetea, sababu ya kujikanyaga kanyaga kama hivi.
😂😂 kidole Cha kwenye masaburi au katika Jichoo!!?
 
Hizi kesi 2 ni tofauti kabisa, ushahidi wa Sabaya ulikuwa ni bayana, na maamuzi yaliendana na ushahidi utafananisha na huo utoto wa kutunga. Sisi sio wanasheria, lakini maamuzi yakitolewa inabidi yaendane na ushahidi unaotolewa. Labda kama mahakama siku hizi inatoa hukumu kwa kubahatisha.
kuja kusema kaonewa nyie ila mpaka sasa JMT 3 - Gaid squad 0

Hata sabaya wakili wake waliwasumbua sana mashaidi 7 ila matokeo?
 
Back
Top Bottom