Kuamini ni kiwango cha juu mno cha kufikia maamuzi...!
Ishu hapa ni KUONA na KUSIKIA...
Ina maana mpaka hapo hujaona wala kusikia mwenyewe..?
Sikiliza ndugu. Manipulation ktk mahakama na ma - Jaji wetu ipo na kufanywa na watawala - serikali sana tu...
Lakini binadamu ana kiwango chake cha kum - manipulate. Ikifikia kiwango fulani, atakuambia tu kuwa, "you have pushed me to the wall, I can't go any more...."
Yuko wapi Job Ndugai na mbwembwe na matusi yake?? Yuko wapi Magufuli na jeuri, matusi na mbwembwe zake...??
Uongo haulipi na hausimami wenyewe hata kidogo. UKWELI na HAKI hujisimamia wenyewe...!
SAWA. Ila UHALIFU nao unamwisho na malipo ni hapa hapa duniani.
Mkuu habari za siku?Naomba unipe opinion Yako juu ya kukatishwa ghafla Kwa mashahidi wengine 11 tuliowategemea mahakamani!Pili naomba kujua kutoka kwako,kama ungekuwa judge,mpaka hapo Kuna ushahidi usio na shaka juu ya Huo ugaidi?
Mkuu mawakili wa mashtaka wametoa sababu- wanaamini wanaweka ushahidi wa kutoa wa kuwapata na kesi ya kujibu- sasa wapewe nafasi ya kujitetea ili humukumu itolewe. SIDHANI KAMA KUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KUTOA MAONI HAPO.
Leo ni Jumanne ya Februari 15, 2022- unatoa maoni gani hapo. Ukitoa nitashangaa sana.
Pengine nikuelekeze usome kifungu cha 40 alichotunia Jaji
40.-(1) Where after the prosecution closes its case the Court finds that the evidence for the prosecution establishes a case sufficient to require the accused person to defend himself against the economic Offence charged' it shall so inform the accused person and require him to adduce evidence in his defense.
(2) Where the Court is satisfied that the evidence adduced by the prosecution up to the close of its case is not sufficient to found a conviction of the economic offence charged, but that it establishes a case in relation to a cognate offence which is an economic offence and for which the accused person may be convicted in the alternative, or if the case for the prosecution establishes other economic offences in addition to that charged, the Court shall inform the accused of its finding and require him to defend himself against the offence established by the prosecution instead of the offence charged, or against those other economic offences established by the evidence as well as the offence charged.
(3) An accused person who elects to give evidence in his defense may do so either on oath or without taking the oath, but shall in either case be subject to cross-examination by the prosecution as well as the Court.
(4) Where an accused person who is required to defend himself elects with no apparent excuse not to say anything and, in addition, not to call any witness or witnesses, an inference adverse to him may be drawn, and the Court as well as the prosecution may comment on his failure to give evidence in his defense
Tusubiri 18.02.2022