Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Kur
Hawa wanainchi Sasa wanatuchanganya
Kila sehem Wanajaa Sasa kura sijui watapeleka wapi
[/QUOTE kule walifuata music na ndiyo maana tulikusanya wanafunzi na tukawaandikia barua ya onyo watumishi ole wao wasijitokeze kwenye mkutano wa mkulu
 
#NIYEYE Rais wa awamu ya6✌🏽✌🏽✌🏽
 
Duh...unamtukana Rais na Amiri Jeshi Mkuu....upo wapi Ndugu yangu tukutembelee ?!?!
Unashida sn kijana.... We ni nani hasa unamtukana rais mtarajiwa Tundu Lissu? Uko wapi tukupe salamu zako?
 
Unashida sn kijana.... We ni nani hasa unamtukana rais mtarajiwa Tundu Lissu? Uko wapi tukupe salamu zako?
Dah...labda au pengine huyo Lissu wenu ni Rais mtarajiwa wa nchi nyingine na siyo Tanzania...he is not a presidential material...hata wewe binafsi unajua hawezi kuwa Rais...ila chuki yako kwa JPM labda inakusukuma kwa Lissu...halafu Mimi sija tukana huyo Lissu wenu kibaraka Cha mabeberu
 
Beberu au mshirika wa maendeleo?
 
Unashida sn kijana.... We ni nani hasa unamtukana rais mtarajiwa Tundu Lissu? Uko wapi tukupe salamu zako?

Maccm ndo vibaraka wa mabeberu maana wameuza raslimali zote kwa wazungu na wamesaini mikataba ya kifisadi kwa maslahi ya ccm na mwenyekiti wenu......Kawadanyanye misukule wenzio lumumba kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…