Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Pamoja na unyama na ushenzi wote huo wananchi wameamua kuondoa utawala huu madarakani na habari wanazipata kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Molemo Media.
Kama kweli ni wananchi wameamua, then vox pupuli is vox Dei, wish you all the best, but my honest opinion is, "keep hopping for the best, but, get prepared for the worst!".

P
 
Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%
60% za wakiristo wa Tanzania
Lakini waislamu wenzangu wengi bado hawajaelewa pamoja na kua pombe anatesa mashekh wetu bila makosa wala bila kufunguliwa kesi mahakamani
Inn shaa Allah kwa uezo wa Mola waislamu tujue maovu na chuki za pombe kwa mashekh wetu na kwa waislamu kwa ujumla halafu tumuadhibu kwa kummpa kura mtu muadilifu ambae ameahidi kuwaachia huru viongozi wetu
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii ni
Tundu Lissu
 
Kwa kweli watu wengine bado mpo nyuma Sana
Mfano sukari ilikua 1800 kilo kabla ya pombe Leo 3000 hakuna mfuko wa bei?
Barabara za lami??
Sehemu ngapi bado kuna vumbi?
Kwani hio lami Tanzania nzima pombe Ndio kajenga?
Hatutaki elimu Bure tunataka elimu Bora
Kweli watanzania tuna safari ndefu bado ma mbumbumbu wengi
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Wewe hutokei Kanda ya Ziwa,,fumba mdomo wewe nzi wa kijani
 
Chief Rumanyika alimkaribisha John Speke kwahiyo kukaribisha wageni ni jambo la kawaida kwetu ila hiyo huwa haithiri uwezo wetu wa kufikiria.

Tutamchagua JPM October 28 kwa kura nyingi.

Uwe unasoma Historia basi ndugu yangu.

CCM 5 Tenaa
2010 Slaa alimgaragaza JK mkoani Kagera, jadi NEC wakabadili gia angani.
 
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema

P
Tangu ulipoamua kujionesha kwamba wewe ni wa chama fulani pia kusombwa na ka usukuma,makala zako za siasa ni zero tafuta kingine nje ya siasa utaeleweka,ama makala zako ungezitoa kwenye gazeti la uhuru pia ingeleta maana zaidi
 
60% za wakiristo wa Tanzania
Lakini waislamu wenzangu wengi bado hawajaelewa pamoja na kua pombe anatesa mashekh wetu bila makosa wala bila kufunguliwa kesi mahakamani
Inn shaa Allah kwa uezo wa Mola waislamu tujue maovu na chuki za pombe kwa mashekh wetu na kwa waislamu kwa ujumla halafu tumuadhibu kwa kummpa kura mtu muadilifu ambae ameahidi kuwaachia huru viongozi wetu
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii ni
Tundu Lissu
Masheikh wa Bakwata ambao ni CCM ndiyo hawajitambui Ila Waislam wote wa kweli wanajua ni Tundu Lissu
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Video kwako zitakua hazifunguki
 
Kama kweli ni wananchi wameamua, then vox pupuli is vox Dei, wish you all the best, but my honest opinion is, "keep hopping for the best, but, get prepared for the worst!".

P
Haya ni maneno ya kujiondolea aibu ya utabiri wako feki juu ya Chadema na ukumbuke leo sio jana na wakati si milele.
 
Ilikuwa ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa, CCM hawakuamini walichokiona jana.

1600857440500.jpeg

1600857531785.jpeg

1600857614439.jpeg

1600857866419.jpeg

1600857940155.jpeg
 
Back
Top Bottom