Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Lissu anapiga spana kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana maana yule Mzee.Kitu kidogo tu kimemvunjia heshima yake aliyoijenga kwa miaka mingi.Kisa tu Tamaa ya PoshoBoya jinga zee la hovyo kabisa eti linashindana na Mbowe
Ha has haaaThis ia terrible.....ni haki Jpm alielie kweli. Eti tunachakata za 2014😂😂
Mwaka huu tutapiga kura na Tutalinda KuraGoli la mkono litakua gumu sana wakati huu kwasababu "once biten twice shy"
Unapiga kura unapiga hatua 200 unasimama. Patachimbika. Mambo ya kuingiza mabox ya kura wasahauMwaka huu tutapiga kura na Tutalinda Kura
Lwaka aliona hawezi kustaafu siasa vila mpunga wa kutosha akakwapua kule kwa vya mjinga huliwa na mwelevu ccm.Kama namuona Lwakatare anavyochungulia kama panyabuku tunduni
Kama kweli ni wananchi wameamua, then vox pupuli is vox Dei, wish you all the best, but my honest opinion is, "keep hopping for the best, but, get prepared for the worst!".Pamoja na unyama na ushenzi wote huo wananchi wameamua kuondoa utawala huu madarakani na habari wanazipata kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Molemo Media.
60% za wakiristo wa TanzaniaMpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%
Wewe hutokei Kanda ya Ziwa,,fumba mdomo wewe nzi wa kijaniLissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
2010 Slaa alimgaragaza JK mkoani Kagera, jadi NEC wakabadili gia angani.Chief Rumanyika alimkaribisha John Speke kwahiyo kukaribisha wageni ni jambo la kawaida kwetu ila hiyo huwa haithiri uwezo wetu wa kufikiria.
Tutamchagua JPM October 28 kwa kura nyingi.
Uwe unasoma Historia basi ndugu yangu.
CCM 5 Tenaa
Tangu ulipoamua kujionesha kwamba wewe ni wa chama fulani pia kusombwa na ka usukuma,makala zako za siasa ni zero tafuta kingine nje ya siasa utaeleweka,ama makala zako ungezitoa kwenye gazeti la uhuru pia ingeleta maana zaidiAsante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.
Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema
P
Mbona jiwe hakukaribishwa hivyo?Labda Wahaya wa Kichwani kwako.
Masheikh wa Bakwata ambao ni CCM ndiyo hawajitambui Ila Waislam wote wa kweli wanajua ni Tundu Lissu60% za wakiristo wa Tanzania
Lakini waislamu wenzangu wengi bado hawajaelewa pamoja na kua pombe anatesa mashekh wetu bila makosa wala bila kufunguliwa kesi mahakamani
Inn shaa Allah kwa uezo wa Mola waislamu tujue maovu na chuki za pombe kwa mashekh wetu na kwa waislamu kwa ujumla halafu tumuadhibu kwa kummpa kura mtu muadilifu ambae ameahidi kuwaachia huru viongozi wetu
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii ni
Tundu Lissu
Video kwako zitakua hazifungukiLissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
kalaghabhaoLissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Haya ni maneno ya kujiondolea aibu ya utabiri wako feki juu ya Chadema na ukumbuke leo sio jana na wakati si milele.Kama kweli ni wananchi wameamua, then vox pupuli is vox Dei, wish you all the best, but my honest opinion is, "keep hopping for the best, but, get prepared for the worst!".
P
Ilikuwa ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa, CCM hawakuamini walichokiona jana.
View attachment 1578167
View attachment 1578168
View attachment 1578171
View attachment 1578173
View attachment 1578175