Kama tunavyotawaliwa rais wa ajabu haijawahi tokeaNashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!
Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!
Tanzania kuna vituko!
Ndg Mayalla, nyie wa vyombo vya habari mnaogopa kufanya live coverage ya mikutano ya Lissu kwa sababu mnazozijua wenyewe. Hata magazeti, almost yote yanakuwa na title moja tu ya Magufuli, na kapicha KADOGOOOOO ka vyama vya upinzani. Hatujawahi kushuhudia uoga wa wanahabari kwa tawala za huko nyuma kama huu tunaoushuhudia sasa. Kweli tunajua mna watoto wa kulea, mnaogopa kufungiwa, lakini mmezidi mno.Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.
Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Bukoba wamejipanga wanataka kuvunja rekodi
Bado hatujaenda Musoma chief. Yani Kagera tumefunika balaa.Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!
Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!
Tanzania kuna vituko!
Mmerogwa sana tu, ila ni haki yako kujifariji angalau utulize moyo.View attachment 1576775
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.
Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.
Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna amewaalika wananchi wote wa Bukoba kumlaki na kumsindikiza kwa maandamano makubwa mgombea huyo wa Urais atakapowasili Hadi katika viwanja vya Gymkhana.
Wachunguzi wa siasa za Bukoba wanasema huenda Leo mji wa Bukoba ukavunja Rekodi ya Mapokezi iliyowekwa na miji ya Tunduma, Mbeya na Mwanza.
Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%
Kabla ya kuingia Bukoba Mjini Lissu atahutubia mikutano katika miji ya Karagwe na Misenyi
Sikupendi kwa vile wewe ni mnafiki, wewe ni "muuaji". Unafiki ni UUAJI. Unajua fika kuwa wamiliki wa vyombo vya habari wamezuiwa na Jiwe kutangaza habari za Lisu, leo unaleta unafiki kuwa uliwashauri CDM! Sema kauli thabiti kuwa "Kama ingelikuwa siyo kuzuiwa kutangaza habari za Lisu, tungelipata nafasi nzuri ya kuwapima wagombea". That would be a sensible statement expected from a person of your calibre!Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.
Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Mkuu Fahamu TV zote zimekatazwa kurusha Live mikutano ya Chadema.Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.
Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Pascal Mayalla Unaona sensible people walivyojibu, sawa kabisa na mimi nilivyoandika hapo juu post #28 as if tumewasiliana na Molemo, while it is not . Haki hujitenga na uongo, unaona haki zilivyojikusanya pamoja! Pascal Mayalla acha ukabila, unakutoa ufahamu kabisa , you can no longer make any reasoned statement due to tribalism!Mkuu Fahamu TV zote zimekatazwa kurusha Live mikutano ya Chadema.
Tulikuwa tynarusha kupitia Chadema Media You Tube Platform yetu wiki iliyopita kijana wetu aliyekuwa anafanya kazi hiyo kakamatwa na kufunguliwa mashtaka na TCRA kwanini anarusha mikutano ya Chadema
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.
Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema
P
shirikisha ubongo wako...Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
asante sana tena sana. Huyu mtu ni hopeless. Pascal Mayalla Anajua kabisa fika kuwa media outlets zote zimezuiwa kutangaza habari za Lisu , leo analeta uharo wake hapa!Hivi kwanini unajiona kama nabii... Kila kitu unasema 'nilisema' unadhani bila wewe kusema . unadhani hatujui.
ukitaka kuaminisha watu uko smart upstairs ni vilevile tunakuona uko empty set upstairs. let that sink in.
Mkuu Fahamu TV zote zimekatazwa kurusha Live mikutano ya Chadema.
Tulikuwa tynarusha kupitia Chadema Media You Tube Platform yetu wiki iliyopita kijana wetu aliyekuwa anafanya kazi hiyo kakamatwa na kufunguliwa mashtaka na TCRA kwanini anarusha mikutano ya Chadema
Delete ccm Oct 28View attachment 1576775
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.
Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.
Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna amewaalika wananchi wote wa Bukoba kumlaki na kumsindikiza kwa maandamano makubwa mgombea huyo wa Urais atakapowasili Hadi katika viwanja vya Gymkhana.
Wachunguzi wa siasa za Bukoba wanasema huenda Leo mji wa Bukoba ukavunja Rekodi ya Mapokezi iliyowekwa na miji ya Tunduma, Mbeya na Mwanza.
Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%
Kabla ya kuingia Bukoba Mjini Lissu atahutubia mikutano katika miji ya Karagwe na Misenyi
Hivi alihamia chama gani?Kama namuona Lwakatare anavyochungulia kama panyabuku tunduni
watafungiwa na kula yao inategemea hapo, nadhani tuwa exempmt from blame!uoga wa wanahabari kwa tawala za huko nyu
Ni wewe wasema!Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Huyu jamaa angegombea ubunge tu, labda angefanikiwa.Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
asante sana tena sana. Huyu mtu ni hopeless. Pascal Mayalla Anajua kabisa fika kuwa media outlets zote zimezuiwa kutangaza habari za Lisu , leo analeta uharo wake hapa!