Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Ndg Mayalla, nyie wa vyombo vya habari mnaogopa kufanya live coverage ya mikutano ya Lissu kwa sababu mnazozijua wenyewe. Hata magazeti, almost yote yanakuwa na title moja tu ya Magufuli, na kapicha KADOGOOOOO ka vyama vya upinzani. Hatujawahi kushuhudia uoga wa wanahabari kwa tawala za huko nyuma kama huu tunaoushuhudia sasa. Kweli tunajua mna watoto wa kulea, mnaogopa kufungiwa, lakini mmezidi mno.
 
Bukoba wamejipanga wanataka kuvunja rekodi

-watu wa karagwe, kyerwa, misenyi bkb vijijini ni miongoni watu walio onja shubiri ya awamu ya magufuli. Walizuiwa kuuza kahawa zao kwa wanunuzi wenye bei nzuri, wakalazimishwa kuuza kwa mkopo kwenye vyama vya ushirika tena kwa bei ya chini. Walio kataa kuuza, ghala zao zilivunjwa na kahawa kichukuliwa kwa lazima.

LISSU AZUNGUMZIE MAMBO HAYA NA ABAINISHE AONESHE MBADALA UNAOKUBALIKA NA WENYE TIJA KWA MKULIMA
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Bado hatujaenda Musoma chief. Yani Kagera tumefunika balaa.

Halafu emb acha kaunafiki kidogo, mpaka muda huu Rais wa wanyonge nadhani ameshafahamika maana kila analoagiza linatekelezwa na kutolewa ufafanuzi. Kwa hakika mkombozi amerejea kukutoa wewe na mimi utumwani! Kumbe lilikuwa ni boflo tu tukadhani ni Jiwe dah!
 
Mm
View attachment 1576775
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.

Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.

Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna amewaalika wananchi wote wa Bukoba kumlaki na kumsindikiza kwa maandamano makubwa mgombea huyo wa Urais atakapowasili Hadi katika viwanja vya Gymkhana.

Wachunguzi wa siasa za Bukoba wanasema huenda Leo mji wa Bukoba ukavunja Rekodi ya Mapokezi iliyowekwa na miji ya Tunduma, Mbeya na Mwanza.

Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%

Kabla ya kuingia Bukoba Mjini Lissu atahutubia mikutano katika miji ya Karagwe na Misenyi
Mmerogwa sana tu, ila ni haki yako kujifariji angalau utulize moyo.
 
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Sikupendi kwa vile wewe ni mnafiki, wewe ni "muuaji". Unafiki ni UUAJI. Unajua fika kuwa wamiliki wa vyombo vya habari wamezuiwa na Jiwe kutangaza habari za Lisu, leo unaleta unafiki kuwa uliwashauri CDM! Sema kauli thabiti kuwa "Kama ingelikuwa siyo kuzuiwa kutangaza habari za Lisu, tungelipata nafasi nzuri ya kuwapima wagombea". That would be a sensible statement expected from a person of your calibre!
 
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
P
Mkuu Fahamu TV zote zimekatazwa kurusha Live mikutano ya Chadema.

Tulikuwa tynarusha kupitia Chadema Media You Tube Platform yetu wiki iliyopita kijana wetu aliyekuwa anafanya kazi hiyo kakamatwa na kufunguliwa mashtaka na TCRA kwanini anarusha mikutano ya Chadema
 
Pascal Mayalla Unaona sensible people walivyojibu, sawa kabisa na mimi nilivyoandika hapo juu post #28 as if tumewasiliana na Molemo, while it is not . Haki hujitenga na uongo, unaona haki zilivyojikusanya pamoja! Pascal Mayalla acha ukabila, unakutoa ufahamu kabisa , you can no longer make any reasoned statement due to tribalism!
 
Asante sana Mkuu Molemo , kiukweli tungefaidi sana kama Watanzania tungepata fursa ya kushuhudia live kuputia TV, mikutano yote ya Tundu Lissu, kama tunavyo ishuhudia mikutano ya mgombea wetu Magufuli, ili Watanzania tuwapime tuamue tunamchagua nani!.

Nakumbuka hili niliwahi kushauri Chadema lakini hamsikii...
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Nilisema

P

Hivi kwanini unajiona kama nabii... Kila kitu unasema 'nilisema' unadhani bila wewe kusema . unadhani hatujui.
ukitaka kuaminisha watu uko smart upstairs ni vilevile tunakuona uko empty set upstairs. let that sink in.
 
asante sana tena sana. Huyu mtu ni hopeless. Pascal Mayalla Anajua kabisa fika kuwa media outlets zote zimezuiwa kutangaza habari za Lisu , leo analeta uharo wake hapa!
 
Mkuu Fahamu TV zote zimekatazwa kurusha Live mikutano ya Chadema.

Tulikuwa tynarusha kupitia Chadema Media You Tube Platform yetu wiki iliyopita kijana wetu aliyekuwa anafanya kazi hiyo kakamatwa na kufunguliwa mashtaka na TCRA kwanini anarusha mikutano ya Chadema

ujue ktk ulimwengu kama huu teknolojia iliyobora ni aibu kukiri jambo kama hilo. tumieni ma VPN other top notch security systems. Tanzania hatuna tunachojua zaidi ya kulalamika. Onyesheni basi kama mlienda shule kufata maarifa na kufuta ujinga.
 
View attachment 1576775
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.

Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo atakapokanyaga viunga vya mji huo.

Mgombea Ubunge wa Bukoba Mjini mwenye ushawishi mkubwa Chief Kalumuna amewaalika wananchi wote wa Bukoba kumlaki na kumsindikiza kwa maandamano makubwa mgombea huyo wa Urais atakapowasili Hadi katika viwanja vya Gymkhana.

Wachunguzi wa siasa za Bukoba wanasema huenda Leo mji wa Bukoba ukavunja Rekodi ya Mapokezi iliyowekwa na miji ya Tunduma, Mbeya na Mwanza.

Mpaka Sasa kila dalili zinaonyesha mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ana Uhakika wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60%

Kabla ya kuingia Bukoba Mjini Lissu atahutubia mikutano katika miji ya Karagwe na Misenyi
Delete ccm Oct 28
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Ni wewe wasema!
 
Huyu jamaa angegombea ubunge tu, labda angefanikiwa.
 
asante sana tena sana. Huyu mtu ni hopeless. Pascal Mayalla Anajua kabisa fika kuwa media outlets zote zimezuiwa kutangaza habari za Lisu , leo analeta uharo wake hapa!

Huyu braza anajishushia heshima yake na yote hii ni kutokana na kuacha anachokifahamu na kukurupukia trends. Wanangu wa twitter wanasema 'jifunze ku balance shobo'
 
Mkuu Molemo asante kwa taarifa hiyo, tunamtakia kila la heri Rais wetu huyu ajaye awe na afya njema, naomba akisahau kuwapa pole wananchi wa Bukoba kwa natural disaster iliyowakumba miaka iliyopita umkumbushe asisahau pia kile walichofanya wale watani wetu walivyopiga kibindoni rambirambi za waliofikwa na maafa yale...
 
Back
Top Bottom