Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Mwambia huyoo Mkuu wa Wanafiki Tanzania
 
Labda Wahaya wa Kichwani kwako.
Chief Rumanyika alimkaribisha John Speke kwahiyo kukaribisha wageni ni jambo la kawaida kwetu ila hiyo huwa haithiri uwezo wetu wa kufikiria.

Tutamchagua JPM October 28 kwa kura nyingi.

Uwe unasoma Historia basi ndugu yangu.

CCM 5 Tenaa
 
bukoba tulitaka mfariji, bukoba tumepata mfariji,
#niyeye
 
Kweli ndugu, mara nyingi huwa namsoma Pascal hapa huwa simsomi vizuri!! huu unafiki wa kiuuaji kautolea wapi? akili anazo anajifanya kujitia uchizi!! macho anayo anajifanya kipofu!!masikio anayo anayo anajifanya hasikii na hamsikii huyo mzee wao anayejifanya Mungu mtu!! mnafiki sana Pascal.
 
Pascal ameniudhi sana. Anajua fika yeye kama mwandishi wa habari, akiandika habari za Lisu anafuatwa na wasiojulikana, leo anasema niliwahi kushauri hamjatekeleza, wakati anajua kuna udikiteita wa Jiwe umezuia kila kitu!
 
Mwacheni Lissu akawafariji wana Bukoba. Walitukanwa kuwa Ukimwi ni wao, Tetemeko ni wao, hata mito wanaiita N'gono. Wacha wakafarijiwe.
 
Uwanja wa Chato umejengwa na Magufuli kwa matakwa yake na kwa pesa za korosho toka Mikoa ya kusini shida za toka Uhuru za wakazi wa huko bado ziko palepale kama zile za Chato. Wananchi wa Chato shida zao kubwa ni maji Safi na salama na ardhi nzuri kwa kilimo na mifugo waliyonyang'anywa kupisha uwanja na Mbuga ya Wanyama ya Burigi. Toka uwanja ujengwe ni Marais Kenyatta na Museveni ndo wanatumia kuja kumshauri aliyejenga, je bila uwanja wangeshindwa kufika?
 
"Watu waliofilisika kisiasa na kisera, wanajinasibisha kwa kikabila ama kikanda na kidini" aliyasema haya Mwalimu J.K. Nyerere.
 
Sasa kwa mfumo wa magazeti kuwa na mwelekeo mmoja wa kiuandisbi kama huu, unadhani kuna media iko salama? Hawataki kiwatokee kilichowatokea Tanzania Daima, Mawio na Mwanahalisi. Rai la miaka hii sio sawa na Rai la akina Ulimwengu, Salva Rweyemamu, Dr. Gideon Shoo na Johnson Mbwambo. Hata Raia Tanzania nao wameufyata. Then tunaaminishwa kwamba mzee baba anapendwa. No way wakuu. Nawasilisha
 

Attachments

  • IMG-20200921-WA0022.jpg
    136.1 KB · Views: 2
Mbona chadema online wenyewe wanaogopa kufungua chaneli yao ili watu watoe comment zao?
Ukishafungua channel kabla hujaweka maudhui unaomba kibali kwanza TCRA. SHida ipo hapo kwenye kibali, maana wakishajua maudhui ambayo unakwenda kuweka basi hupewi, kwa sababu hata ukidanganya kwamba huweki kampeni material, watajua tu, watu si wanaona. Huu wakati tulio nao sio, ule uhuru watu waliokuwa na enzi za JK ulishaondoka.
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Tuliza mshono dada mkubwa upone haraka haya ya kiumeni tuachie wanaume tufanye yetu, nyie endeleeni kukata viuno tu kwenye fiesta zenu.
 
MV bukoba? Are you serious?
 
Duh...unamtukana Rais na Amiri Jeshi Mkuu....upo wapi Ndugu yangu tukutembelee ?!?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…