dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Vyama kwa kuwa vinapewa ruzuku vibane matumizi na vianzishe vyanzo vya mapato ili kuomarisha miundombinu ya chama.
Kujenga ofisi nzuri si jambo baya na kama mtu unachukia umasikini na unaendelea kukaa kwenye nyumba nzuri wakati ofisi ya chama haipo hatuwezi kusema unakisaidia chama.
Viongozi wajenge ofisi hakuna namna ya kutetea kutojenga ofisi hii inaleta harufu ya ufisadi kupanga ni gharama kuliko kujenga na kujenga jengo zuri ni kheri zaidi