Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Mheshimiwa Tunaomba Sukari Ishuke Bei.
Hayo ndiyo maneno ya ccm wenzenu wanao isoma namba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa hauelewiMkuu hii ni nchi gani?
Nimekuuliza kuhusu hiyo picha ya watu wanaoisukuma gari.Utakuwa hauelewi
Mgalatia ndio maana jamaa yenu anawajaza ktk kila teuzi zakeUkiangalia tu hizo picha mbili utaweza kugundua kuwa CCM tunajitambua na tunayoyasema tunayaonyesha kwa vitendo lakini ukiangalia kwa umakini picha ya chini hutopata taabu sana kujua fikra zao zinaendana na " uchakavu " wa haya Makao Makuu yao na ni aibu kubwa mno kwa chama kinachotamba ni cha upinzani kuwa na Ofisi " chakavu " kama hiyo. Siku nyingine ni bora wakiwa wanagomea Bunge basi wawe tu wanarudi Dar hapo Biafra na kujenga Ofisi yao hiyo kwani inawaaibisha sana. Naipenda CCM kama ninavyompenda Yesu Kristo wa Nazareth. HAPA KAZI TU!
Muulize .. au huna namba yake!Ukiuliza Kodi anayojilipa Mbowe kwny hicho kijumba anachipangisha unaweza usiamini
Aahaaaaaaa,hiyo ni Tanzania mkuu!Hapo ni Barbara ya ifakara,mbele tulikuta malori yamekwama tukalala siku 3Nimekuuliza kuhusu hiyo picha ya watu wanaoisukuma gari.
Huu ndio ukumbi wa CCM DODOMA utakapofanyika mkutano mkuu wa chama dume cha CCM
Hapa chini ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa CHADEMA
![]()
Du poleni.Aahaaaaaaa,hiyo ni Tanzania mkuu!Hapo ni Barbara ya ifakara,mbele tulikuta malori yamekwama tukalala siku 3
Watu mnao? Si mngeshinda uchaguzi mkuu? Jengo hamna na watu hamnao.Kwani chama ni jengo au watu
Muulize .. au huna namba yake!
THIBITISHAHilo jengo wamelijenga kwa fedha za wizi.