Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale Twiga waliopandishwa Ndege je umewasahau?Ukumbi huo umejengwa kwa hisani ya watu wachina tumebadilishana na tembo wetu ,nikiona ukumbi huo naona Tembo wetu...Mungu tuepushie majangili hawa
Huo ukumbi umejengwa na wachina nani asiyejua wachina ndio majambazi wa kubwa nchi hii....wanaiba Tembo zetu na madiniWale Twiga waliopandishwa Ndege je umewasahau?
Huu ndio ukumbi wa CCM DODOMA utakapofanyika mkutano mkuu wa chama dume cha CCM
lol!
Hapa chini ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa CHADEMA
![]()
Ukiangalia Tenda Nyingi ni Wachina sikatai wanafanya Kazi tatizo viongoz wetu. c unaona hata Miradi mingi ni CRJE na GROUP 6 INTERNATIONAL haya AVIC TOWN kule Kigambon na sasa hiv nao wana Mradi wao pale Victoria ukishapita Majengo ya NHC yanyojengwaHuo ukumbi umejengwa na wachina nani asiyejua wachina ndio majambazi wa kubwa nchi hii....wanaiba Tembo zetu na madini
Ndio yaleyale ya a house is not a home! Relations, harmony, legetimacy ya wakaazi au family ndio muhimu.Kwani chama ni jengo au watu
Na huo ukumbi hapo wachina wamejenga,ili waendelee na wizi .ndo maana hata rais huwez sikia anaongelea kuhusu ujangili na mikataba ya madini ana deal na hiv vidagaa...wakurugenzi na watendajiUkiangalia Tenda Nyingi ni Wachina sikatai wanafanya Kazi tatizo viongoz wetu. c unaona hata Miradi mingi ni CRJE na GROUP 6 INTERNATIONAL haya AVIC TOWN kule Kigambon na sasa hiv nao wana Mradi wao pale Victoria ukishapita Majengo ya NHC yanyojengwa
Hivi ile Mahakama ya Ufisadi inaaza lini kujengwa? Haya walisema wana List za Wauza Unga ziko wap?Na huo ukumbi hapo wachina wamejenga,ili waendelee na wizi .ndo maana hata rais huwez sikia anaongelea kuhusu ujangili na mikataba ya madini ana deal na hiv vidagaa...wakurugenzi na watendaji
Wauza unga wote watakuwa kwenye kikao tarehe 23mwez huu kwenye huo ukumbi .....ulio jengwa na majangili wakichinaHivi ile Mahakama ya Ufisadi inaaza lini kujengwa? Haya walisema wana List za Wauza Unga ziko wap?
Huu ndio ukumbi wa CCM DODOMA utakapofanyika mkutano mkuu wa chama dume cha CCM
Hapa chini ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa CHADEMA
![]()
Wewe sema unapenda tumbo lako zaidi!Ukiangalia tu hizo picha mbili utaweza kugundua kuwa CCM tunajitambua na tunayoyasema tunayaonyesha kwa vitendo lakini ukiangalia kwa umakini picha ya chini hutopata taabu sana kujua fikra zao zinaendana na " uchakavu " wa haya Makao Makuu yao na ni aibu kubwa mno kwa chama kinachotamba ni cha upinzani kuwa na Ofisi " chakavu " kama hiyo. Siku nyingine ni bora wakiwa wanagomea Bunge basi wawe tu wanarudi Dar hapo Biafra na kujenga Ofisi yao hiyo kwani inawaaibisha sana. Naipenda CCM kama ninavyompenda Yesu Kristo wa Nazareth. HAPA KAZI TU!
si tumbo tu , bali anapenda shetan na malaika zake ...itakuwa na yy ni shetani kati ya mashetwani Wa ccmWewe sema unapenda tumbo lako zaidi!
Mkuu hii ni nchi gani?OK,hilo ni jasho letu wananchi!