Mgeni rasmi ni Rais Jakaya kikwete, namuona Ali shein, Kinana na Makamu wa rais Billal
Rais kikwete anatoa hotuba fupi na kuwashukuru watanzania na wana CCM
Hitilafu inatokea mic zinagoma wanabaki kushangaa.
Bado anazungumzia jengo jipya na kuhusu pia niya ya kukodisha jengo hilo kwa shughuli mbalimbali.. anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana.
Anawasifia UVCCM, UWT,na Jumuiya ya Wazazi kwa kuonyesha mfano mzuri kutumia viwanja vyao vizuri, kuwekeza kwa tija
Namuona pia balozi wa China.
Anawashukuru wajenzi na kumshukuru Kinana na kumuita 'jembe' shukurani maalum anasema ukiona vya elea ujue vimeundwa.
Rais anazindua jengo rasmi wajumbe wa kamati kuu wanaitwa na ndugu Nape kupiga picha na rais.
Rais na balozi wa china wanafungua jengo kwa kufungua pazia, kwenye jiwe la msingi
Ntaweka picha nzuri vizuri